Heri ya siku ya kuzaliwa Heaven sent

Atoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
85,398
167,589
Habari wanajamii forum:

Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita.

Mpendwa napenda nikutakie heri na fanaka katika siku yako maalumu ya kuzaliwa, na zaidi zaidi Mungu akujaalie baraka zaidi na akutimizie yaliyo mema katika maisha yako, tena akupe kila lililo hitaji la moyo wako na akufanye the best of the best.

Sweetie yo the best.

Kaboom hongera kwa kukuza mpenzi, kaka mito leo makavu pembeni mtoto asijelia, Evelyn Salt gelofrend wako anataka pampers, @benny tafadhali usimfuje huyu mtumishi wa Mungu, [USER=104131]everlenk mwambie Eli79 leo ni maombi tu, sumbai muachie biashara cute b kwa leo uje tujumuike pamoja, mshana jr bwana shee tafadhali usije na tunguli, Guasa Amboni shemeji yangu mtoto kazaliwa, kui karibu kabla hujenda uchagani,mpitie na BAK.

Valentina Azarel Kakole Saint Ivuga Nifah Honey Faith Kaizer geniveros wambeke Patience123 Mentor RRONDO Rogie Freeland miss chagga housegirl Paulo Sergio De Souz
Na wapendwa wooote wanajf karibuni tujumuike kumpongeza na kumtakia heri mpendwa wetu Heaven Sent katika siku yake ya kuzaliwa.
[/USER]

b12744fecd5dc1f65598c18b2f8b8f69.jpg

96e4276d02fb3c6b868acfcf2ca96db4.jpg

00a6e911d7fbf25e77967b62b0b019a4.jpg
 
Last edited by a moderator:
Waooooh...
Happy birthday dada mtumishi Heaven Sent kwa niaba ya familia ya Mr Sumbai napenda kukuombea uwe na maisha marefu yenye kumtumikia Mungu nawe atakubariki na kukutimizia haja za moyo wako.

Katika siku hii muhimu ni vema ukaitafakari ile methali ya 3.

Hongera kwa kaka Kaboom kwa kukuza binti huyu. Umekuwa ukimlinda dhidi ya mabazazi humu jf.
 
Last edited by a moderator:
Thanks much my crazy atoto
My darlin sis, my step momma, partner in unknown crimes, my biggest rival na Kila kitu. Yani nikikuwaza tu najikuta nacheka. Thanks for being an amazing part of HS. Nakupenda hivyo hivyo na utaahira wako. I appreciate mno
 
Last edited by a moderator:
Waooooh...
Happy birthday dada mtumishi Heaven Sent kwa niaba ya familia ya Mr Sumbai napenda kukuombea uwe na maisha marefu yenye kumtumikia Mungu nawe atakubariki na kukutimizia haja za moyo wako.

Katika siku hii muhimu ni vema ukaitafakari ile methali ya 3.

Hongera kwa kaka Kaboom kwa kukuza binti huyu. Umekuwa ukimlinda dhidi ya mabazazi humu jf.
Ahsante mnoo kaka mtumishi; Nasubiri tu viwalo. Thanks much
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom