Habari Wana jamvi....
Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi...
Habarini wakuu
I hope mko gud.
Moja kwa moja kwenye mada kumekua na battle nyingi hapa jf kuhusu uzuri na ubaya wa badhaa ya majiji.nini kiko moshi na nini Kiko ARUSHA ambacho kinakuinterest kwa...
LITTLE GHANAIAN PLAYER [TWI] - YouTube
Umri wake ni mdogo lakini anakipaji cha kuchukuwa mwamke yeyote yule na mali popote pale na kwa wakati wowote ule.
Wananzengo vipi?
Leo tunaenda kula bata wapi?
Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama.
Twende kazi!
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba...
Mambo vip wana Jamiiforums, kama kichwa kinavyojieleza, kwakweli ninaomba ku share nanyi mambo hayo sisi vijana tumekuwa tunazongwa na hayo mambo kiasi kwamba tunadhani tumeimiliki dunia.
Binafsi...
Kuna muda kama huu nakuwa nawashwa kabisa kuanzisha uzi JF lakini nakuwa sina la maana sana la kuandika kwenye huo uzi.
Hebu wataalamu wa kuanzisha nyuzi nipeni idea hapa, nianzishe uzi wa...
😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time.
Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu...
Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita,
Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina...
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa...
Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba.
NI...
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo...