JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa. Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
12 Reactions
111 Replies
12K Views
Mama: Mwanangu hebu mpigie simu baba yako mwambie chakula tayari Mtoto: Sawa mama Mtoto: Mama simpati Mama: Bac subir kama baada ya dakika tano mpigie tena inawezekana ni mambo ya network hayo...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Teh! niko ofisi za Star Times sina mbavu, kuna masai kaja hapa anasema anataka kinga ya mbuzi Hawakumuelewa kumbe alikuwa anataka King`amuzi. !!!!!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa momoja jina kapuni juzi alikutwa pale didz akipata kinywaji chake mara akaingia jamaaa mmoja Mhaya nadhani walikuwa wanafahamiana huyu jamaa aliyekutwa didz alikuwa akinywa kinywaji cha...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndio hiyo. Na umbea ndio huo. Msiniulize habari hizi nimezipata wapi ila kaeni mjue tu. Kama haikuhusu,potezea. Harusi October 25. Wa mjini twajuana.
0 Reactions
56 Replies
7K Views
This is what is happening in Kenya a teacher in a class. TEACHER: class 1+1 is? CLASS: 11 TEACHER: Correct, name two types of coffee. CLASS: Kofi annan and Kofi olemide. TEACHER: Correct...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
:: Ilikuwa miaka kadhaa, Furaha iliitekenya dunia, Wazazi waliifurahia, Ukatoa sauti ya kulia, Maishani ukaingia, Binti mzuri uliyetulia, UMEKUA RAFIKI YETU Happy birthday Munkari ...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Masaa yatapita, siku zitapita, miezi itapita lakini naamini neno NDIYO litatokea kinywani mwa mrembo Arabela.
4 Reactions
174 Replies
8K Views
Hivi kichwa cha habari kina nywele au kipara?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kipofu na mlemavu walikua wamekaa...mara likapita gari na bahati mbaya likawarushia maji machafu...kwa hasira maongezi yao yalikua; mlemavu: ngoja nimkimbize kipofu: achananae nishaisoma number..
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Hayawi hayawi na sasa yamekuwaaa...mwenyekiti wa jukwaa Baba V naomba uandikishe hii couple kwenye daftari lako.... TheDealer &...
10 Reactions
346 Replies
16K Views
ivi madokta kabla ya udokta walikua ni madokta au kulikua na madokta wakuatibu madokta kabla ya madokta hawajawa madokta?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
wakuu wa JF twaomba sana msameheni Maria Roza kwani kuna jukwaa fulani halitaendelea vizuri bilaa yeye .. twaomba sana wakuu muondoe hiyo BAN ..
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Mabadiliko ya tabia na mwenendo wa wanadamu kila uchao, je utandawazi ndo unatuathiri ama ni hisia za mtu kupandisha/kumsha mori? Kizazi kilichokaidi maadili ya kiafrica, hapo kale ilikuwa ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ukiona kijana, mdogo yuko CCM ujue uzeeni atakuwa Mchawi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swali 4 both side wadada na wakaka hivi MPENZI WAKO AKITAKA KUSHIRIKI SHINDANO LA BIG BROTHER UTAMRUHUSU?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Niaje!!!!!! Ndugu yenu mie nataka kujua kama kuna umri halisi wa kuanza kumiliki gari la kutembelea(sio pickup wala gari ya biashara)kwa mwanaume na mwanamke,kama zipo jee sababu za msingi za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa miaka sasa wazazi wamekuwa wakiwapa watoto wao majina kama; sikujua sikuzani, Matatizo, havinitishi Muungano, Majaliwa, Subira, Wema, Baraka. Taarifa zinasema neno la MAJANGA lipo karibu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…