Wahaya wako juu always like Airforce one!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Jamaa momoja jina kapuni juzi alikutwa pale didz akipata kinywaji chake mara akaingia jamaaa mmoja Mhaya nadhani walikuwa wanafahamiana huyu jamaa aliyekutwa didz alikuwa akinywa kinywaji cha Heineken bee!r basi huyu aliyeingia akaenda kwenye meza yao akaagiza castle larger, jamaa anayekunywa Heineken beer akawa anamcheka jamaa kwakunywa castle lager akamkashifu kuwa anakunywa diesel!!jamaa akamwambia nakunywa beer yauwezo wangu nikitoka hapa naenda kwangu!Yule mwenye chupa Heineken beer akahamaki kwani ninani analala baa??mimi ninaenda kwangu pia!Jamaa akacheka sana akamwambia wewe unakaa kwa mwanaume mwenziyo unasema unakwako???Jamaa akawaka akasema mimi nakaa kwangu wewe!!Jamaa akamwambia wewe umepanga inamaana hapo unakaa kwa mwanaume mwenzio halafu unakunywa Heineken beer???? jenga ndo unywe Heineken beer!!
 
Mkuu,
Hii story ya kweli au tia joto kijiweni?
 
nanyi wahaya kwa sifa, du!
Siyosifa mkuu nikwamba siku ote tupo juu ya ukweli na hatutaki kuita mkono mshikio nooooo!!tupo katika ukweli nyie ndala ndefu ndo mnaona misifa!!lakini ukiangalia kiuhalisia nikweli ila kwakuwa mjini hakuna shamba watu lazima wapange nyumba!aliyebahatika kujenga inabidi ajiprou au siyo mkuu!!una verosa kulaza kwa Ndibalema??Ndiyo maana jamaa alimwambia unakunywa Heineken beer unakaa kwa mwanaume kama wewe mwenye pumb mbili kama wewe???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom