Tetra
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 1,526
- 771
::
Ilikuwa miaka kadhaa,
Furaha iliitekenya dunia,
Wazazi waliifurahia,
Ukatoa sauti ya kulia,
Maishani ukaingia,
Binti mzuri uliyetulia,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Kila mtu akataka akuone,
Wengi wakataka wakubebe,
Ulimwengu ukataka unene,
Uliposema wakataka unyamaze,
Ukaruka huku na kule,
Utoto ukaufurahia ee,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Una mabawa wakati,
Sasa u timam ki umri,
Dunia imekupa mengi,
Mungu akupa ulinzi,
Uishinde mitihani,
Inaendelea hii safari,
Safari inayotaka kurunzi,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Uzuri wako wa umbo,
Hekima ya kifua chako
Moyo huo wa upendo,
Akili zisizo enda likizo
Hizo ni zako ngao,
Zidumishe uendako,
Utayavuna mafanikio,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Katika hu ulimwengu,
Uache alama muhimu,
Uwe na maisha marefu,
Mepesi yaso machungu,
Uyashike yake Mungu,
Usitatizwe na ukungu,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy bathday Munkari
=
Ilikuwa miaka kadhaa,
Furaha iliitekenya dunia,
Wazazi waliifurahia,
Ukatoa sauti ya kulia,
Maishani ukaingia,
Binti mzuri uliyetulia,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Kila mtu akataka akuone,
Wengi wakataka wakubebe,
Ulimwengu ukataka unene,
Uliposema wakataka unyamaze,
Ukaruka huku na kule,
Utoto ukaufurahia ee,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Una mabawa wakati,
Sasa u timam ki umri,
Dunia imekupa mengi,
Mungu akupa ulinzi,
Uishinde mitihani,
Inaendelea hii safari,
Safari inayotaka kurunzi,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Uzuri wako wa umbo,
Hekima ya kifua chako
Moyo huo wa upendo,
Akili zisizo enda likizo
Hizo ni zako ngao,
Zidumishe uendako,
Utayavuna mafanikio,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy birthday Munkari
::
Katika hu ulimwengu,
Uache alama muhimu,
Uwe na maisha marefu,
Mepesi yaso machungu,
Uyashike yake Mungu,
Usitatizwe na ukungu,
UMEKUA RAFIKI YETU
Happy bathday Munkari
=
Last edited by a moderator: