Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
Mkuu Mtambuzi nyie waoaji kabila gani?Ni ya kijana wa kaka yangu anaoa kwa Wanyakyusa.
Nitakuwa nawapa up dates yatakayojiri.
Wakilimanjaro
Wakilimanjaro
hebu nidokeze, inahitajika shing ngapi?
Mungu wangu, hayo maandalizi..!
kuna umati wa watu utadhani ndio harusi....
Ngoja kwanza tuuze sura kwa kamera na video...