JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Imetokea Mitaa flan Dar. afisa wa uhamiaji : we raia wa wap? jamaa: yooh..wats up men...wats wrong witchu my nigger! cant speak swahili...yu know i came here with the my president some months ago...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
usione wanajenga majumba ya kifahari ukadhani wachacharikaji, wanapunda wao wanaowatumia usione anashindwa kufanya maamuzi magumu ukadhani kapendi, anaogopa watamuua usione anazunguka huku...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nina muda sasa sijagumiana naye humu ndani its like i missed her > Mrembo by Nature...where a u? tokea nikugumie pale Kisambo market ukifanya shopng mpaka leo sijakuona tena! Umehama mtaa...
0 Reactions
93 Replies
6K Views
Kwa kua viongoz wa nchi wanaogopa kuwataja wahusika wanaojihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya...Nachukua fursa hii kwa ujasili mkubwa na tena nikiwa na uhakika wa asilimia mia kuwataja...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Ugumu wa Maisha + Uhaba wa ajira matokeo ni =
0 Reactions
7 Replies
8K Views
jamani hapa nilipo nafikilia ni wapi niende......wapi sikuku ambayosehemu n nzuli kujipumzisha na sikukuu kwa mnaofika maeneo haya tupeni ratiba ya sikuku ya iddi na viingilio,na kitu gani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ajifungua kwenye boti ziendazo kasi,tumesikia za wanaojifungua kwenye mgari,ndege ,ila hii ya boti nadhani ni ya kwanza duniani ,!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nchi ya Tatu kwa kuzalisha dhahabu, but poorest of the poor Nchi ya pekee kuzalisha tanzanite, but poorest of the poor Nchi yenye ziwa la pili kwa ukubwa duniani, but poorest of the poor...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa yeyote anayejua group nzuri la kuchat whatsapp ani pm nmpe contact aniunganishe
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wana mmu mambo vipi nawazimia sana watajwa hapo juu natamani nimpate mmoja wao awe mpenz wangu
1 Reactions
150 Replies
9K Views
Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pale mmekaa kiring cha watu afu watu wanaongea mambo ya kiprofessional huna hata cha kuchangia? Kinywaji inashuka kweli. Hebu tambizane.....
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi...wana cc mliko arusha nawasalimu Nipo palace hotel
2 Reactions
66 Replies
4K Views
Hapa karibu na nyumbani kuna mangi wa 2 wanauza unga kwa mbele kidogo kuna mpemba pia je hapo ulipo wewe je? Fichua
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman yaani nimemmis Evelyn Salt kanikimbia chumbani #mambo ya kikubwa## nimeambiwa yupo huku plz baby turud ucwe kama katarina
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama unapenda kusocialise tupia namba wadau.itanoga tuu
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Fuatana nami katika malumbano haya. Mama :- "Mimi ndiyo mmiliki wa mwanangu , amenyonya ziwa langu!" Mke :- "Haahaaa! Hilo ziwa lako kanyonya miaka miwili! Langu analinyonya huu mwaka wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Sio eti kisa yupo na mie ndo iwe sababu ya kunila.mi bado sijafunguliwa,naitunza aje aikute asiamini. Na kama ndoto hufungua basi nimefunguliwa zaidi ya mara 60. mimi ni mama wa "Emmanuel"...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nilienda zangu club hivi karibuni. Nikakuta warembo wamevaa shorts na wengine miniskirts na vitop,mule ndani taa zina metameta kwa rangi mbali mbali,WAREMBO WOTE niliowakuta wakimulikwa na zile...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu, leo ni wedding anniversary yangu na nimetoroka Ikulu kwa Obama kuja kuwasalimu tuu This is the gift I prepare for my hubby nzuri au mbaya? ur comments pls nimewamiss na bado nawapenda...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…