TAA za KUMETAMETA CLUB HOVYO kabisa

TAA za KUMETAMETA CLUB HOVYO kabisa

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Nilienda zangu club hivi karibuni.
Nikakuta warembo wamevaa shorts na wengine miniskirts na vitop,mule ndani taa zina metameta kwa rangi mbali mbali,WAREMBO WOTE niliowakuta wakimulikwa na zile taa ni WAZURI sikuwahi kuwaona popote mchana,nikajichagulia mrembo mzuri zaidi,nikamleta geto kwa ajili ya mambo ya usiku,nikatumia weee,kimbembe jua lilivyopambazuka ni mbaya huyo dah,nikajiuliza hivi naooota ama?Si alikuwa mzuri kabisa!!Nilipomwangalia alivyo mbaya alafu nimelala nae na ku-m-use roho ikawa inanikeretaketa hata kumtimua,DAH NIKAOGOPA,nikafikiri nimevusha jini,mana haiwezekani nimemchagua mwenyewe msichana mzuri alafu asubuhi ageuke kuwa mbaya tena mbaya haswaaa,NILIPOKIMBILIA kwa jirani kuomba msaada kwa kuingiliwa na jini,KWANZA WAKANISHANGAAA na wakaniambi TAA ZA KUMETAMETA ZINAWAFANYA WASICHANA WOTE KUONEKANA WAZURI.hizi taa siyo kabisa.
 
yawezekana na yeye alikuona kama jini pia!!!

kwanini wewe tu ?
 
bora uendelee na vi-baa vya mtaani km mimi
 
Ulitumia chifwanyio au ulipuyanga mwanawane?
 
Tatizo sio taa za kumeta meta, ni Pombe ulizokinywa.
 
utakuwa pia ulitumia macho ya kumeta meta kumtazama...
 
We itakuwa ni geNye zilikuzidia.

Kichwa cha chini kikisimama, kikubwa hakifanyi kazi.
 
Bishanga kifanyio wakati hapo unaona taa zimemmaliza nguvu hapo ni asubuhi anakuja kukumbuka kuwa hakuwa na kifanyio
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha unajua ukishalewa unafanya vitu vyaajabu sana na genye +++
 

kakwambia nani disco
unaweza ona demu mzuri au mbaya?
ndio ukome kuokota ovyo khaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom