Msaada nahitaji mbegu nzuri ya tembo

Msaada nahitaji mbegu nzuri ya tembo

charger

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
2,320
Reaction score
1,374
Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako
 
Hii inafaa Chit Chat kwahiyo..

View attachment 111538
 
Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako
Nnyo lakini wanahitaji mahali pa kukaa palipo funikwa vizuri ili asipate jua wala mvua. Wao huwa hawali sana huwa wanakula kama tani 1 ya majani kwa siku.
 
Pitia Lumumba yupo mtaalam huko...
 
jaribu kuwasiliana na kina.na atakupa utaalam elekezi katika jambo hili
 
Wandugu ni muda muafaka wa kuachana na mambo ya kukimbizana na polisi,kila mtu afuge tembo wake ili matumizi ya tembo hao aamue mwenyewe.Natafuta mbegu nzuri ya tembo wasiokula sana lakini kwa ajili ya kitoweo na pembe.hivyo mwenye idea wapi ntapata ndovu wazuri anifahamishe.natanguliza shukrani.Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwenzako

nenda india,wa kufuga kibao
 
Back
Top Bottom