msaada mliopo dar kwa wanafahamu ratiba za sikuku ya iddi maeneo haya tupeni ripoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada mliopo dar kwa wanafahamu ratiba za sikuku ya iddi maeneo haya tupeni ripoti

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by C Programming, Oct 26, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,754
  Likes Received: 1,790
  Trophy Points: 280
  jamani hapa nilipo nafikilia ni wapi niende......wapi sikuku ambayosehemu n nzuli kujipumzisha na sikukuu kwa mnaofika maeneo haya tupeni ratiba ya sikuku ya iddi na viingilio,na kitu gani kinaendelea na pia kama kuna maeneo tupeni pia ripoti

  1.club ambiance -- sinza africasana

  2.kimboka night park---buguruni

  3.jolly club---upanga

  4.meeda club---sinza

  5.lambo motel club--manzese

  6.mango garden--kinondoni

  7.kisuma night park--temeke

  8.sewa bar---buguruni

  9.club masai--kinondoni

  10.swizz pub night---tabata

  11.las vegas night club---upanga

  12.laki si pesa lodge--kinondoni biafra

  13.elizabeth inn lodge---sinzaa
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  nenda zako buguruni
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Kwa mfuga mbwa
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hiyo iko Upanga sehemu gani??!!!!!!! Ni mpya si ndivyo?
   
 5. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Ndio tabu yenu.
  Unajua maana ya siku ya leo ?
  Nenda kwenye mihadhara ukasikie maneno ya hekima.
   
 6. deepsea

  deepsea JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2013
  Joined: Aug 10, 2013
  Messages: 3,164
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  12 nasikiaga unalipia counter unapewa albam unachagua na kulipia
   
Loading...