JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Namshukuru Mungu kwa kweli, tarehe kama ya leo miaka arobaini iliyopita, alizaliwa kipenzi, rafiki, dada, mdogo wangu mzuri mzuri jamani na ndugu yangu kipenzi Shunie!! Mungu azidi kukuinua...
26 Reactions
1K Replies
51K Views
Nipo naangalia marudio ya simba na yanga hapa naona camara bado anarudia makosa yaleyale Je Kuna kipa kweli hapa[emoji23][emoji23]
1 Reactions
2 Replies
328 Views
Halafu anataka mimi nibaki ndani namsubiri yeye mpaka umeme wake uwake. Vijana kuleni tu hizo viagra ujanani. Fainali uzeeni. Pesa yako nakula halafu wewe unakula kwa macho coz huna umeme wa...
1 Reactions
4 Replies
292 Views
Natamani kujua siri ya hiko kilevi. Coz nipo na chupa ya pili sasa na najisikia kuagiza inayofuata Nzuri ladha yake ukichanganya na coke Ingawa mie sio dada poa. Nina BIASHARA zangu TOFAUTI
2 Reactions
1 Replies
276 Views
Ama kweli kujaribu siyo kushindwa. Jana ndugu zangu luku ilikata na kwa bahati pekee nikaamua nijaribu kuingiza namba zangu Nida na nilistaajabu umeme ukawaka! Tusiogope kujaribu.
3 Reactions
9 Replies
441 Views
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari, Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama...
22 Reactions
2K Replies
130K Views
Tumemshinda brentford ila bado sana tunasusua.
2 Reactions
2 Replies
360 Views
Najua mambo kadhaa ikiwemo ; 1. Wanapenda amani na utulivu. 2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba. 3.Wanapenda sana kunyanduana. 4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa...
14 Reactions
57 Replies
8K Views
Karibuni mtaani.
4 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari wakuu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Kuna jambo nilianza kuliona tangu mwaka 2010 na limekuwa likiendelea siku hadi siku, miaka hadi miaka. Nimetokea kupendwa sana na watu wenye...
9 Reactions
83 Replies
5K Views
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
1 Reactions
24 Replies
1K Views
Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu...
16 Reactions
491 Replies
12K Views
Kampuni yangu pendwa ni Allys Sport Bus ambayo kwasasa inaitwa Ally Star Bus [emoji93] au unaweza iita (Chungwa [emoji521]). Hii kampuni inajali sana muda. Yaani hawana gari mzaha hata moja, zote...
11 Reactions
184 Replies
11K Views
Wana Nsumba mpo? Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984! It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau...
2 Reactions
97 Replies
34K Views
Hivi nyie Hili swala mnalichukuliaje unamwazima MTU kitu hakurudishii mpaka ufate na usipofata ndo Ivo kimaya"
0 Reactions
0 Replies
202 Views
Bila kupoteza muda wakuu mnaopenda movie zenye maudhui ya uhalifu, mateso ya kisaikolojia kama The Platform au escape room mnaweza nipa list hapa nishuke nazo usiku huu wa mwisho wa wiki.
2 Reactions
4 Replies
527 Views
Yaani usipokuwa na mtu wa kumpungia basi imekula kwako. Ni kama vile huna dili kabisa. Watanzania tunapenda kusalimiana sana.
4 Reactions
16 Replies
788 Views
Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is...
10 Reactions
53 Replies
1K Views
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
55 Reactions
85 Replies
4K Views
Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya. Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni...
44 Reactions
921 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…