yan leo siku nzima sijaongea na my beiby.....sina raha hapa nilipo
tanesco mbona mnanifanyia hivi jamany??
sinza leo siku ya pili hamna umeme
miss my baiby soo much
tanesco have...
In highschool,I was very
poor in Maths and
Chem. During exams, I'd get
btn 02 and 08.
The results used to be
announced out from the lowest to
the highest
marks,so I would
always be the 1st or 2nd...
Haiwezekani nasema tena haiwezekani students waache kusoma waje jf twente foo hawaz na xana zao badala ya sana! Pia haiwezekani na sipendi watu wamtongoze my wife wangu Lady doctor laiv laiv bila...
MAMA MWENYE NYUMBA:Jamani chupi zangu sizioni zinaenda wapi? We dada au umechukua wewe?
MDADA WA KAZI: Akuu mi sivaagi muulize hata baba
Sorry ka ishawahi kutoka hapa.
Kama hamjui basi subirini niwaambie.
Pombe hii ni maarufu sana Mikoa ya Kusini mwa Tanzania kwa kuwa mali ghafi yake inapatika kutoka kwenye zao la korosho linalo limwa huko.Nani anaweza kutupa...
Wanawake ambao majina yao ya kwanza yana anza na herufi 'A'..wanatajwa kuwa ni wazuri zaidi, wana akili sana, na wanaishi kwa muda mrefu zaidi.
Sasa hebu nihakikishieni hili kwa kuniambia kati ya...
Ni kawaida ktk ukoo wetu itokeapo mmojawetu ameoteshwa , ndoto mwanzoni mwa mwaka , basi ndoto hiyo hua si ya kawaida .
Mathalan ukioteshwa Maadui , utaoteshwa na utakavyo wakabili.
Kile...
Habari wakubwa
leo katika kuwatembelea majirani zangu nikafika kwenye nyumba moja na nikawakuta majirani zangu tukawa tunasalimiana sasa kulikuwa na dogo moja wa darasa la pili akawa anamuuliza...
Wakuu salama humu? Kama Mungu kakupitisha salama kwenye sikukuu hii basi mshukuru.
Jana ilikuwa boxing day..kama hukupata cha kufungua basi bila shaka ulifungua mlango au dirisha kama mimi...
Ipi ni maana halisi ya MAISHA na
kama hapa haipo nipe ya kwako.
1.Maisha ni foleni
2.Maisha ni safari ndefu isiyo na
likizo
3.Maisha ni kupanda na kushuka
4.Maisha ni mzunguko...
********BREAKING NEWS********
Ndege imeanguka ikijaribu kutua uwanjani sasa hivi..airport zanzibar..ikiwa imepakia abiria wasiopungua 110.
Picha zaidi ziko hapo hiyo link...
Tafadhali natoa wito kwa Wakurya wote kujaribu kuelimisha jamii kuhusu mila hii ilivyo ili kuepuka kuendelea kudharirishwa na vyombo mbalimbali vya habari...
Wakristo wawili,John na Paul walipotea jangwani.Wakawa na njaa sana.Mara ghafula wakaona Msikiti,John akasema tujiite majina ya kiislam ili yusaidiwe.John yeye akajiita Abdulmalik lakini Paul...
Ni mji wenye idadi ya watu 491,500 kwa sensa ya mwaka 2012.umezungukwa na mto kwa upande wa magharibi.na jina la mji huo inasemekana ulitokana na jina aliloliita alexander the great alipokaa...