jamanyy tanesco i hate u

jamanyy tanesco i hate u

Princess Somali

Senior Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
182
Reaction score
66
yan leo siku nzima sijaongea na my beiby.....sina raha hapa nilipo


tanesco mbona mnanifanyia hivi jamany??

sinza leo siku ya pili hamna umeme

miss my baiby soo much

tanesco have mercy plz
 
Kuna kitu nyie watu wa Jf hua mnajisahau , kwamba mkitoa Post mna assume kama vile wote tutakiwao kuchangia tupo Tanzania !
Ni hivi sie tulioko huku Canada hatujui Tanesco ni nini ?
Hebu tusaidie Tanesco ni chakula au ? Mcheza mpira au?
 
Kuna kitu nyie watu wa Jf
hua mnajisahau , kwamba mkitoa Post mna assume kama vile wote tutakiwao
kuchangia tupo Tanzania !
Ni hivi sie tulioko huku Canada hatujui Tanesco ni nini ?
Hebu tusaidie Tanesco ni chakula au ? Mcheza mpira au?

google is your friend
 
Kuna kitu nyie watu wa Jf hua mnajisahau , kwamba mkitoa Post mna assume kama vile wote tutakiwao kuchangia tupo Tanzania !
Ni hivi sie tulioko huku Canada hatujui Tanesco ni nini ?
Hebu tusaidie Tanesco ni chakula au ? Mcheza mpira au?

Shem habari yako bana, hatujasalimiana siku nyingi ujue, hivi ukaguzi wa malapa, matikiti umemaliza?
 
Back
Top Bottom