Mfano we unaishi maisha ya kawaida na magumu kiasi,mgeni akakutembelea,ukaenda kumnunulia soda,mara alipofungua ganda la kizibo cha soda akawa amejishindia million 100,akaanza kushangilia na...
mzee NCHIMANI alienda ulaya kwa mtoto wake. kwakuwa mtoto alijua baba ni mtu wa tungi hasa gongo akampeleka BAR kufika dingi akaanza kufakamia kinywaji.mara akaanza kuimba mwanae akamwambia...
Sijui ni uhaba wa fedha January au ni kwa sababu ya ligi ya Uingereza.......Ni furaha sana kukuta lundo la vijana wamejazana wakiangalia mpira.... na amini kwa kiasi kikubwa big match huwa ziazuia...
Nimekulia katika jamii ya kitanzania ambayo viongozi wetu wa kisiasa sio tu wana nafasi kubwa katika nchi yetu bali hata katika Maisha binafsi Ya watanzania.
Jambo ambalo naliona mimi ni ile...
kuna madame mmoja anadai eti ananipenda while am still a student na nikimkataa huwa ananipa punishment kwa kosa dogo tu,mpaka imefikia wakati nimemchoka! nifanye nini?!
Habarini za masiku bandugu nafrahi kukutana na nyie tena siku kama ya leo nafikiri mko poa niwape pole wale wote waliopatwa na matatizo ya aina yyte ile niwape moyo na nawashauri kutokata tamaa...
Majuha watatu walikuwa wakishindana kuhusu nani juha zaidi kati yao...
Juha 1: Mi siku moja nilivyokuwa nje ya nchi nilimpigia mke wangu simu usiku kafungua simu hakusema haloo... kulaleki! na...
Jamaa kamuaga mkewe kuwa anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe hana lolote kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake. Kachukua taxi kazunguka mtaa akajitoma ndani ya nyumba ya jirani...
Siku moja umerudi na mning'ining'io(hanover) wako ongeza na usingizi mkali wa kukesha yapata kama saa tisa unusu ama kumi ndo umeingia kulala.
Yapata majira ya saa moja asubuhi mtu anakugongea...
TEACHER:IF I GIVE U 2 CATS,AND ANOTHER 2 CATS AND ANOTHER 2, how many will u have?
PAPPU: Seven Sir
Teacher: Let me put it to u this way, If I give u 2 apples,and another 2 apples and another 2...
Watized wengi wanafikiria slow
Kama internet ya tigo
Wasomi hamna ..........
Wazazi wanabaki kuwaambia watoto technology inamagonjwa
Computer in virus eti inauwa
Serikali inaongeza division 6...
Nimekumiso mpenzi wangu japo niko mbali kikazi ila hisi upendo wangu kwako.nimekukumbuka sana.kesho narudi home walau nije iona sura yako tu nitarizika.i love u so much my preety.mwaaaaaaaaaaaaaaaah
girls are like computer virus,they enter in your mind aNd scan your pocket,traNsfer your money and download problems,remove your happiness and sometime they can shutdown your life,,,,,,,,.
Ukimtumia msg mpenzi wako i love u, atajibu i love u 2! ukimwambia i miss u atakujibu i miss u 2! mwambie nakutumia 100,000/= kwenye m-pesa uone atajibuje?? TAFAKARI CHUKUA HATUA!
iddd aminialisema '' nyerere is beautiful if he was a woman i would marry her. naskia hapa nyerere akasirika sana.
kutokana na ukarimu wa malkia wa uingereza
idd amin akamshukuru akamwambia...
Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu.
Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya...