Mvuta bangi mmoja alifanya ajali akaua watu 25, Kufika polisi Traffic akamuuliza ilikuaje? jamaa akasema alikuwa spidi nyingi tu ghafla akaona kundi la watu kushoto na mtu mmoja kulia na yeye hana...
Wana jamvi,
Hawa jamaa nimesoma nao 'O' Level na nina hamu ya kuonana nao endapo ni wazima popote pale walipo. Mwenye taarifa au wahusika wenyewe mkijisoma tafadhali naomba tuwasiliane...
Kuna vichaa walikuwa wanasafirishwa kwa ndege kwenda India kwa matibabu zaidi.
Wakiwa juu angani waliandaliwa eneo maalum la kuchezea mpira, sasa wakawa wanacheza mpira, bahati mbaya wakati...
Habari zenu waungwana.
Ni hivi baada ya operesheni kimbunga kumrudisha kwao my wife wangu basi nikaamua kujipekecha sehemu nyengine ambayo nimemkuta mtoto WA kambo ambaye mwezi ujao anafanya...
Polisi walikuwa wanamfukuzia mtuhumiwa wao,jamaa anayefukuzwa mara akakutana na msichana aliyevaa sketi ndefu,
akamwomba huyo msichana ili ajifiche ndani ya sketi halafu msichana asimame.
msichana...
Kuoga huwa ni jioni umeshinda kazini au kwenye mizunguko ya kila siku, vumbi mambo na takataka nyingine zote zimegandamana mwilini mwako
Jioni ndio huwa Wakati muafaka wa kupata muda wa kutosha...
Hii sijui kama ilisha wekwa humu lakini mtu kanitumia:
Siku moja Dogo alikuwa ameakaa na dingi yake ghafla akatembelewa na demu wake na mambo yakawa hivi:
DOGO: Karibu sana, umefuata kile kitabu...
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
PEOPLE ARE YOU READYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY!!!!!!!!!!!!!!!! It is GOING DOWN this evening! Ndo tuko kwenye kumalizia malizia...
Kwanza lazima tukubaliane kuwa rangi nzuri kwa taulo ni nyeupe na kazi ya taulo ni kukausha maji mwilini baada ya kuoga, unajikandakanda tu bila kutumia nguvu na kwakuwa taulo ni kotoni tupu basi...
Wakuu,
Habari za mchana. Basi leo asubuhi niko zangu kituoni nasubiri daladala mida kama ya saa nne hivi huku kwetu maeneo ya Goba. Jua lilikua linachoma kweli kweli halafu nikichek kituoni niko...
Madame B
Nakupenda sana mwenzio
Usiku silali nakuota wewe
Nikinywa maji kwenye glasi nakuona wewe
Nikitembea nakuwa kama nimeushika mkono wako.
Nikiona tu jina lako moyo wangu unastuka
Nikisoma...
ITS NOT EASY
Si rahisi kujifunza kitu ambacho hujakipitia toka darasani
Wala si jambo rahisi ukawa Daktari wa binadamu au mifugo
Bila hata kujifunza huo utabibu wa wanadamu na viumbe. Je...
Wnajamvi ilitokea katika kijiji cha mweda Msumbiji ni kisa cha kweli.
Kijana mmoja alikuwa anamchinja KASA (kobe bahari) ili ajipatie nyama. Bahati mbaya akatokea mtu mzima mmoja na kumuuliza...
Jamani wadau hebu tujikumbushe wakati tulipokuwa primary na kwa kiasi fulani sekondary schools..,walimu kama hawa shule yako ilibahatika kuwa nao.........,?Na uliwahi kubahatika kuingia kwny anga zao?
Habarini wanajamvi wenzangu
Leo nimeona niseme nanyi mambo kadha wa kadha ambayo mwanadamu
anashindwa kuyafanya kutokana na dhana potofu iliyojengeka mawazoni
mwake, kwamba hawezi fanya kitu...
Katika taarifa ya habari ya channel 10, makampuni ya simu yamekubaiana kuondoa ofa za extreme/kujiunga na kurudisha utaratibu wa zamani wa malipo kwa dakika na wala si sekunde.
my take: kwa...
Happy BOXING Day Mabestitoooooooo0000
Jamani hamjaona vituko vioja na vitimbili vya siku hizi humu mjengoni?
Yani ni majanga kama sio makanda kila kona unayopita mjengoni humu
vimejaa tena...
Mabestito kila jambo na wakati wake
na kila kitu hutokeaga kwa wakati wake
hakuna kitu kitakachopangwa wakati ujao kifanyike
leo, wala hakuna jambo ambalo litakuwa la maana
ulifanye wakati usio...