Vijitoto vya karne hii majanga tupu

Vijitoto vya karne hii majanga tupu

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Happy BOXING Day Mabestitoooooooo0000

Jamani hamjaona vituko vioja na vitimbili vya siku hizi humu mjengoni?
Yani ni majanga kama sio makanda kila kona unayopita mjengoni humu
vimejaa tena ivimetapakaa kama dagaa wa kigoma yani ni shida si kasri

Kwani wewe mkuu mwenzangu hujaona vitoto vya kichuo vikikatiza bila
woga mjengoni humu tena visumbufu kule pm si mchezo utaona kinadai
kinakujua na kukufahamu hadi unakopumua utadhani vimewekwa morta

Vimenishangaza vinashadadia mambo ya nyuma humu mjengoni utadhani
walizaliwa na jf ukiangalia wallivyojiunga wengi ni Oct, sept, dec 2013
sijui akina Mamndenyi, Bujibuji, watu8, Jiwe Linaloishi, KakaKiiza
hamjaviona visumbufu hivi tuvifanyaje tuviwekee jukwaa lao au mwasemaje?

yani vimenikera kama sio kuni:cool2: basi tuviache viharibu nchi yetu jamani
au tuwaite wanasheria wetu Ruttashobolwa, lara 1, Asprini wavitengeneze
dawa ya kuwatoa hapa vimekuwa viharibifu na visivyoleta maendeleo yoyote
kazi yao vinashadadia mambo ya kipuuzi yasioyo ya kujenga MNASEMAJE WADAU

Nawatakia siku njema na mapumziko mema ya sikukuu na mwaka mpya 2014
 
Last edited by a moderator:
kwa Kweli, sidhani kama kuna mtu hajawaona hawa .... jamaa .ni wasumbufu balaa, hawana adabu wala heshima.... Hebu tuangalie uwezekano wa kuwadhibiti.....
 
Sijaona tofauti kati ya hii sredi na huo utoto unaoongelewa ndani yake.....
 
Hata mie awali nilidhani ni vijitoto!
Kumbe sivyo! Hivi ni vijigeni .
Kwani nimeshakutana na wengi wao madukani mie nnanunua wembe na wao wananunua wembe , wote tukiwa na madhumuni mamoja ya kwenda KUNYOA!
Ndy nikajua hawa ni mijitu mizima menzetu! So far waite wageni tu!
 
watiwe ban kidogo wajifunze binamu waonaje hilo?
kwa Kweli, sidhani kama kuna mtu hajawaona hawa .... jamaa .ni wasumbufu balaa, hawana adabu wala heshima.... Hebu tuangalie uwezekano wa kuwadhibiti.....
 
ni vijitototo tu sio wageni wataka wapandwe bichwa kuwaita wageni?
Hata mie awali nilidhani ni vijitoto!
Kumbe sivyo! Hivi ni vijigeni .
Kwani nimeshakutana na wengi wao madukani mie nnanunua wembe na wao wananunua wembe , wote tukiwa na madhumuni mamoja ya kwenda KUNYOA!
Ndy nikajua hawa ni mijitu mizima menzetu! So far waite wageni tu!
 
Ooooop!nilikuja spidi nikajua vitoto vimeharibiana kwenye hii xmass kumbe vitoto vya hapa,naona wanasheria walifanyia kazi hili suala
 
Tena unakikuta kimezulula majukwaa yote hadi lile la ukubwani, lkn ngoja wafungue shule nadhani tutapoa kidogo
 
Back
Top Bottom