JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habarini marafiki zangu mjengoni hapa Hii ni wiki maalum ya kufurahi na wale marafiki zako, ni wiki ambayo utaenjoy kuwa pamoja na wale maadui zako ambao kwa namna moja ama nyingine mlikosana Ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Je kati ya wanaume na wanawake nani wangeongoza kuwa na machata mengi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wachungaji wa madhehebu mbalimbali,walikuwa kwenye semina ya maadili na mambo ya kiroho. Alipita muuza magazeti ya siku hiyo,,kuna gazeti liliandikwa kwa kichwa kikubwa cha habari MCHUNGAJI...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
jamani niko na jamaaa mmoja hapa ni mgeni apa home ila inaonekana kaona movies nyingi kidogo basi mkiangalia movie jamaa kama anaijua anaanza kuhadithia nini kitatokea... kwakweli mimi hili...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Jana nilikuwa nimekaa na demu wangu mara akaja chizi tusie mfahamu ajabu akataja majina yetu wote, naomba maoni yenu.
0 Reactions
2 Replies
748 Views
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habar zenu "si kila mwanamke anafaa kuwa mke na wala si kila mwanaume anafaa kuwa mume jitambue unataka nini" ujumbe waleo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wanaowajua tabia za dada zetu tujuzen sifa zao na mapungufu yao pia..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
waungwana watwana vijana nawasalim......... wapita njia wa hapahapa wenyeji nawasabahi....... habar zenu jaman?????!!!!!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kati ya mambo niliojishauri na kuwaza na kuwazua ni hl la kuweka picha yangu halisi,lakin nikapata jibu kuwa itakua vema niweke,waogawaoga muige kamfano hako.
0 Reactions
87 Replies
6K Views
Mambo yanazidi kuniwia magumu, pato linakonda matumizi yana, Mapingo ya moyo yanaenda mbio, natamani ningelikuwa na uwezo ningeliweka vibwana mdogo huko ndani vishikilie roho yangu isitoke manake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mu hali gani wana CC jamani mimi shida yangu mojatu nataka kuwafahamu.mana naona kuna Mababu mabinamu mawifi Mara mr na mrs. Hv mfano couple za humu ni mke na mume kweli au Siombaya nikapewa...
1 Reactions
140 Replies
8K Views
Mgeni; Dah mbwa wenu mbona ananiangalia sana ninapokula? Mtoto; kajibu, Labda kwa kuwa wamekupakulia kwenye sahani yake. Kama ni wewe ungeendelea kula au?
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamaa anapiga simu ofisi ya Makumbusho ya Taifa: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?" OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka jana mpenzi yupi nilikuwa naye...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Haaa hii sio haki tupo safarini nimeskia njaa gari liakasimama kituo cha mafuta nikanunua viazi vitamu vya kuchemshwa na mahindi ya kuchemsha nikala baada ya muda akapndaa jamaa wa korosho na...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
???
Duh! Watu wa humu...!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Urani popote ulipo tambua nakuhitaji siku yaleo kuliko maelezo. Kwanzia juzi nakusakasaka sijakutia machoni. Patachimbika usiponipa maelezo ya kuridhisha leo
4 Reactions
283 Replies
14K Views
Yani nikiona post yoyote ina (0) yani haijapata mteja wa kuchangia huo ndio ugonjwa wangu napenda kuwa mno wa kwanza kwakuwa najiona kama ndio nimeikibiri
0 Reactions
11 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…