Nimeamua kuweka avatar yenye picha yng

Nimeamua kuweka avatar yenye picha yng

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Kati ya mambo niliojishauri na kuwaza na kuwazua ni hl la kuweka picha yangu halisi,lakin nikapata jibu kuwa itakua vema niweke,waogawaoga muige kamfano hako.
 
Unaonekana kama mwanafunzi wa STD 6!!!!!
 
waoga wa nini?
kwa nini?
wapi?
kivipi?
kwa nani?

unathibitishaje hiyo picha ni yako wakati ID ni fake?
 
Japo kiaina lakini afadhali hiyo dah..!!! Maana ile avatar yako mkuu ilisha wahi kunilizia mtoto kwa jinsi ilivyokuwa inatishaaaa...Me liledomo tu lilikuwa linanivunja mbavu..
 
Ile ilikua ukiiangalia unaeza ukacheka ha ha ha

kuna watu hata wakiupload album nzima humu haileti athari hataaaa, viko vichwa humu vyenye athari bwana,kwa hiyo wewe tuwekee hata za toka unanyonya haina shida.Ahsante sana.
 
hahaaaaaaa Baba Paroko have mercy on my ribs lol

images
 
Ile ilikua ukiiangalia unaeza ukacheka ha ha ha

Ila hata hii bado kama inanichekesha kidogo hilo pozi lina utata hapo dizaini kama umekalia ta.ko moja au ni macho yangu tuu ebu tatua utataaaa..!!!
 
Kati ya mambo niliojishauri na kuwaza na kuwazua ni hl la kuweka picha yangu halisi,lakin nikapata jibu kuwa itakua vema niweke,waogawaoga muige kamfano hako.

Wengine tumeweka picha zetu tangu śiku tulípojiunga, we mpaka utafakari.
 
Watu mna majungu utafkr nini'
 
Back
Top Bottom