habar zenu "si kila mwanamke
anafaa kuwa mke na wala si kila mwanaume anafaa kuwa mume jitambue
unataka nini" ujumbe waleo.
habar zenu "si kila mwanamke anafaa kuwa mke na wala si kila mwanaume anafaa kuwa mume jitambue unataka nini" ujumbe waleo.
Kila mwanaume amezaliwa ili aoe na kila mwanamke amezaliwa ili aolewe hizo sababu zako umezitoa wapi? Hafai kuwa mke au mme kwako lakini kuna sehemu anapofaa. Na wewe jitambue
Kila mwanaume
amezaliwa ili aoe na kila mwanamke amezaliwa ili aolewe hizo sababu zako
umezitoa wapi? Hafai kuwa mke au mme kwako lakini kuna sehemu anapofaa.
Na wewe jitambue