Ni Kwa hisani ya pesa, vizuri huwa vibaya
Ni kwa hisani ya pesa,vibaya huwa vizuri
Ni kwa hisani ya pesa, wabaya huwa wazuri
Ni kwa hisani ya pesa,wazuri huwa wabaya!
Ni kwa hisani ya...
2014 NINAOMBA SERIKALI ISIMAMIE YAFUATAYO:
1.nyama iuzwe kwa bei ya dagaa
2.Nauli ya ndege kwenda S.Afrika iwe bure coz ni mteremko
3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwez sukuma mwezi au mwaka...
Jamani leo kuna thread nimesoma nimecheka hadi mbavu zikauma, nikaona niilete huku kwenye jokes na wengine wafaidi.
Katika kujadiri Mawaziri wanaoweza kuongea Kiingereza kwa ufasaha, mwana JF...
Kama umeshawahi kuwasikia makondakta wengi wakitafuta abiria we utasikia mama mdogo,mjomba,dada,kaka,shangazi,mama,baba,binamu unaweza ukachangia majina mengine hapa
Love is our destiny
And am happy to have that love from ma hubby kiwatengu every single day
Am happy when i wake up looking beside me and i see my BFF
Thank u and happy valentine LOVE
And all...
waungwana mnajua Leo .ni ijumaa muhimu sana kwa wale waliokuwa kwenye sikukuu, lakini sisi wakwenda kumpapasa tujiorodheshe...
kiongozi atakuwa babu Asprin.....
Inakuwaje Kama umeamka asubuhi ukajikuta maumbile yako ya Siri yamebadilika? Binti umekuwa dume lenye mshedede wa haja, na dume umekuwa kabinti mwenye sauti nyororo na chuchu Kama embe...
Leo niliingia katika mtandao.moja nikiwa na chart Dada Fulani baadaye nikawa nacheki picha zake zingine zikawa lock nikamwomba anifungulie.Dah nikaambiwa kuziangalia ni 10000 naweza kuweka...
Habari ya leo ndugu yangu, kwa heshima na taadhima nina furaha kukutarifu kwamba ninatarajia
kufunga NDOA tarehe 31/02/2015. Ukiwa kama rafiki yangu wa karibu naomba mchango wako
kwa hali na...