Capogi jr.
Member
- Feb 14, 2014
- 49
- 7
Kama umeshawahi kuwasikia makondakta wengi wakitafuta abiria we utasikia mama mdogo,mjomba,dada,kaka,shangazi,mama,baba,binamu unaweza ukachangia majina mengine hapa
Shemeji, sholi, braza,Kama umeshawahi kuwasikia makondakta wengi wakitafuta abiria we utasikia mama mdogo,mjomba,dada,kaka,shangazi,mama,baba,binamu unaweza ukachangia majina mengine hapa