JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Guys!! Jamani I have fallen in love with one of the ladies in JF. Siwezi kupata usingizi kama sijasikia sauti yake. I have never met her personally but guys this lady is killing me!!!! hivi...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wawakilishi wa wananchi katika bunge la katiba mpya sidhani kama wanatambua kile kilichowapeleka pale.au wanataka siku ziendelee kuongezwa ili wapige dili zaidi?
0 Reactions
3 Replies
985 Views
Wandugu leo Njia ya msalaba. Tuliishi neno.
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Malaika kashuka toka mbinguni katika kila nchi inabidi atoe watu milioni 4. Ambao watasamehewa dhambi zao zote halafu pia nilazima wafe ili kupata hiyo nafasi je utakubali kama ukiwa mmoja wao ?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
In this world nothing is certain than Tax and Death.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili neno bazazi nilikuwa nnaliona sana humu ndani, bahati mbaya nilikuwa sijui maana yake, ila leo nimejua maana halisi ya neno BAZAZI. BAZAZI=penda penda. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi...
1 Reactions
79 Replies
12K Views
Nina elfu ishirini imeanguka chooni natafuta mtu wa kuitoa, nimpe gawiwo:rolleyez:
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lwiva Amos Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. "Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini?" Wengine wakasema, leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia, "Kila...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Ningependa kujua nani amezaliwa tarehe kama hii. Karibu.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
x-amenipa hela ya kununua moka y- nauli ya kwenda bush z- ticketi ya kwenda bush ila tuondoke wote tar 24 maana tuko village moja w-lift ya kwenda bush,ila sitaki nani akwame barabarani na mavua...
9 Reactions
262 Replies
16K Views
Jamaa katika mihangaiko yake mitaani alipata Kiu ya hatari... akapita nyumba moja kuomba maji akamkuta Dogo mmoja akamuomba Maji ya kunywa, Dogo akamletea Maziwa!! Jamaa akanywa. Jamaa: Niongeze...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear white men, U asked us to wear coats under hot sun, we did; U said we should speak your language, we have obediently ignored ours. U asked us to always tie a rope around our necks like...
0 Reactions
1 Replies
867 Views
hbr wanajf hivi kipi kinafaida kati ya kukaa kwa muda mrefu bila ya kufanya mapenzi na kufanya mapenzi kwa vijana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Money attracts the female you want,struggle attracts the woman you need.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Nimependa na nimevutiwa na jukwaa hili.... naomba mnikaribishe kama mwanajumuiya mwenzenu... Mi ni mwanasiasa but inahitaji muda wa kutuliza akili pia.... Nawapenda wote naomba mnikubali...
0 Reactions
122 Replies
7K Views
Come on my king please i beg pardon darling Excel i love you beyond description without you i can not move forward restore the heart back my sweetheart you mean everything to me i...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu habari za mchana...kwa wale wanaoishi dar es salaam na kuhali hiki cha hewa basiri raha mustare na kama mko pea pea basi ndo burudani.nisilete story nyingi niingie kwenye mada niliotaka...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Hata uwe busy kiasi gani,huwezi kumtuma mtu akuendee chooni
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuangalia mpira na wanawake ni stresi tupu kwa maswali yao. Mwanamke: Baby Yule Ni Chris Brown? Jamaa: Hapana Anaitwa Theo Walcott Mwanamke: Hee... Ile Ni Kadi Ya Njano Ni Ya Nini? Jamaa: Ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipongezeni jamani bila kusahau zawadi kidogo! Miaka 40 si haba!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…