Wandugu, Kuna Bar Mbili Maarufu masaki zinatazamana maeneo ya kilima Nyege, Yaani ukiingia Bar hizo kama wewe mgeni wahudi wanakupokea kama mfalme kuanzia unapo ingia.
Mimi mwanzoni nilifikiri ni...
Mwalimu aliingiaa darasanii na akawapa kitendawili wanafunzi wala darasa la tano:
Mwalimu:KITENDAWILIIIIIIIIII
Wanafunzi:TEGAAAAAAAAAAAAA
mwalimu:ni timu gani ikifunga,ikifungwaaa pia ikidroo...
Saa ..12 asub nikasikia mlio wa sms katika cmu yangu.na ujumbe ulisomeka hvi!!
"washa radio eti wanatangaza ndege ya malaysia imepatikana ikiwa na abiria wote" niltingwa kinoma.nikaanza ku tune...
Wanajamvi habar gan....
Nimehamishiwa Mbeya kikazi na nimeshareport huku tayari.. Najua wanachit-chat mlioko Mbeya mtafurahi kuwaongezea team hii...ila nasubiri kukaribishwa rasmi
Wakuu taarifa zilizonifikia sasa hivi.. ni kuwa yule moderator wa kutumainiwa hapa JF amekamatwa na madawa ya kulevya alipokuwa akijaribu kuingia nchini humo.
Akizungumzia suala hilo kamishna wa...
UTAJUA AJE DEM ANATAKA HII
MANENO???
1.Anakuangalia na tumacho
tamu,then ukimwangalia
anakuuliza "nini mbaya? Hehe/...
usiniangalie "
2.akisema kitu notty anacheka
cheka ile nkama...
Haya sasa mmewasungumzia Wanyakuysa na "Mwa Mwa" zao, Wachagga nao wana vitimbi vyao. Baadhi yao wanaotoka sehemu fulani fulani za Kilimanjaro upenda kuwaita watoto wao majina ya maneno ya...
Beka alikuwa anampenda sana bint mmoja ila alikuwa anaogopa kumwambia,siku moja kajikakamua akamuandikia mesegi "I love u,nijibu kwa hisia please" baada ya muda simu yake iliingia mesege,nguvu...
Mkulima mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji.Alikuwa na majike 25 na jogoo mmoja. Baada ya kuona jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo mwingine. Lile jogoo jipya kufika tu, kukawa na...
Do you feel no one cares about
you any more, pressure at work,
home, pals?
Do you feel like running to some
place you don't know, where no
one can find you?
Do you feel like disappearing...
Mme na mke kila siku kushindana kwenye familia,mpaka maisha yakawa kama yakuboa maana kila kitu kidogo lazima washindane,mme aliudhika kweli maana kila siku mke ndo anashinda,kila kitu kidogo mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.