Nimehamia Mbeya

Nimehamia Mbeya

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Wanajamvi habar gan....
Nimehamishiwa Mbeya kikazi na nimeshareport huku tayari.. Najua wanachit-chat mlioko Mbeya mtafurahi kuwaongezea team hii...ila nasubiri kukaribishwa rasmi
 
utakua mwalimu wa serikali wewe...
maana ndo wanaripoti sasa.
.Mponele fijo mwasomola
 
Back
Top Bottom