Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,087
- 72,491
Mwalimu aliingiaa darasanii na akawapa kitendawili wanafunzi wala darasa la tano:
Mwalimu:KITENDAWILIIIIIIIIII
Wanafunzi:TEGAAAAAAAAAAAAA
mwalimu:ni timu gani ikifunga,ikifungwaaa pia ikidroo inabaki kuwa ni namba 7 tu??
Wanafunzi:Man uuuuuuuuuuuuu
chezeaa vitendawili vya kisasaa
Mwalimu:KITENDAWILIIIIIIIIII
Wanafunzi:TEGAAAAAAAAAAAAA
mwalimu:ni timu gani ikifunga,ikifungwaaa pia ikidroo inabaki kuwa ni namba 7 tu??
Wanafunzi:Man uuuuuuuuuuuuu
chezeaa vitendawili vya kisasaa