hum ndan kilam2 mkuu
hvyo wakuu naiman mnakumbuka kuhusu topic ya(mama mkwe anamwezi hana dalili ya kuondoka)
juz tulipanga safari kua anaondoka jpil. sababu mume wa mdogo angu anarudi leo safari...
Kama kichwa kinavyojieleza,nimepitia misukosuko mbalimbali ya mapenzi so am very experienced.Yoyote mwenye swali kuhusu mapenzi or anayetaka kujua kitu chochote kutoka kwangu nje ya mapenzi...
#1 Ukijiona umefanya kazi katika
kampuni
moja kwa muda wa miaka 10
halafu haujawahi
kuongezewa mshahara.
#2 Unapofeli masomo ya
Kingereza, Kiswahili
na Hesabu kwa pamoja katika
mtihani...
Hello wadau, nahitaji kijana wa kunifanyia Massage nyumbani kwangu, umri kuanzia miaka 21 hadi 24.
Malipo kwa siku ni Tsh 20,000/=, na utakuja siku ya Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Mara 3 katika...
ustadhi mmoja kutoka kikundi cha uhamsho alienda kuhubiri msikiti wa masasi.alikalibishwa majira ya saa 2 asubui,anga anza kufundisha mpaka saa 6 mchana,9 alasiri na ilipo fika majira ya saa kumi...
Ndugu, zangu wapendwa nimeoteshwa jukwaa hili la joke limefungwa. Na kwa uzoefu wangu kila ndoto ninayoota huwa inatokea kweliiiii!!!!
:frusty:
:playball:
Umebakiwa na nafasi moja ya kujaza, mapambano yanaendelea. Wanaume wawili wanajitokeza ili waende mstari wa mbele. Wanaume hao ni Chris Lukosi na W. J. Malecela
Tukumbuke wote hawa wamepitia...
siku moja kuna jamaa kaenda kwa jirani yake sasa alikuwa na kiu sana kufika kwajirani yake akamkuta mtoto akamwomba maji ya kunywa akaambiwa hayapo ila kuna maziwa basi jamaa akasema nipe hayo...
Majamaa wa3 walishindana kula ugali na mboga ya maajabu
wa 1 alilukula sinia la ugali na maji lita 16 kama mboga
wa 2 alikula cnia la ugali na chumvi pkt 10 kama mboga
wa 3 ye akaamua kuagiza...
Nauliza hivi sababu hapa mie najiona kama nilivyozaliwa, halafu baada ya mihangaiko yamaisha hujisikia kuwa free kama nilivyozaliwa na pia nashangaa naingia kitandani nakuta mwenza wangu naye kama...