Habari za weekand wanaMMU natumaini wote ni wazima wa afya
Katika pitapita zangu nimegunduwa michepuko inazidi kuboreshwa hususani na wanawake
Rafiki yetu Excel alituaga hapa kuwa anasafiri na...
world cup start 12 june 2014,time 11:00pm&
my birthday is 12 june ****** time 10:49pm.
sasa wana jf nifanye nini world cup napenda,Birthday napena nipeni ushauri ili siku ikifika nijue nafanya...
wanyama wanajua ukweli,wanyama wanajua uhalisia,wanyama wana imani kali,wanyama wanajua mapenzi,wapambanaji na wataftaji hawana kauli ila wana akili,mnyama anajua siri nyingi za dunia,nini ujuacho...
Hali zenyu binafsi....
Leo tuungane pamoja kumtakia kila lililo jema ndugu yetu, member mwenzetu, rafiki yetu ndugu mshana jr kwa kutimiza miaka kadhaa...
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu...
Haya ni baadhi ya majina ya kabila la wakinga huko nyanda za juu(makete) kama na wewe unayo mengine waweza kuyataja,
i) Usukani Mahenge
ii) Balubu Ngailo
iii) Endiketa Kyando
iv) 2nyi
v)...
Kama ulikuwa hujui ni frusa yako kujuwa sasa
Pia kama unajuwa ni frusa pia ya kuwajuza wengine
Karibuni tujuzane!
1.je unajuwa Kuna mji nchini Indonesia unaitwa "Surabaya"...
Waungwana majibu haya yatasababisha ugomvi: Ilikua jmos niko pande za majengo moshi napata Noah ugali bhana meza ya karibu jamaa naye WA gereji ya karibu na maeneo hayo alikua anapata kitimoto(...
Mzee mmoja na jirani yake walimpeleka mjukuu wake mzee hospitali baada ya kumeza sarafu ya sh. 200 kwa jirani. Madaktari walimchunguza na kuona hakuna namna zaidi ya operesheni ndogo, kwa hiyo...
Jamaa mmoja alikuwa na tumbo kubwa sana mpaka mikono ikawa haifiki kujikuna hasa maeneo ya kwenye kitovu na kwingineko, hivyo ikawa tabu kumuelekeza msaidizi wake ni sehemu ipi hasa inayomuwasha...
Za asubuhi mabibi ma mabwana, najua wengine mtakuwa hamjaamka, hivi naweza kupata mtafsiri ndoto hapa JF sababu watu wanasema ndoto nyingi zina maana.
Sitaki kushushuliwa, nimeona hili swala lina...
Eheee, Ndo kusema this time hatuparty mweeh mbona sizioni zile shamra shamra zetu, Mwezi June si ndo kesho? au ni full mwaliko hamna mchango now loh nnakiherehere?
Mjue nshanunua skonkodiko za...
MZAHA SAINGINE WATAKA PLAN
Mdada mmoja alitaka kujua kiasi gani
anapendwa na mume wake, hivyo akataka kujua
mumewe atafanya nini endapo ataamua
kuondoka na kumuacha!
Mwanamke huyo akaamua...