JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huku kwetu ukiskia mtu anaenda mjini ujue Kariakoo hiyo kwa wahindi!!........ Kweeli mi wakupotea mjini?? Nimesikitika haki ya nani!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman kinadada mnazamb jamaa fundi garage kawa na mpenzi wake kwa miaka 7 na tna kamsomesha lakini mwaka wa mwisho mdada kaolewa na mtu mwingine na kumsaliti wa miaka7 kwel hki hii nyie ma dada...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
DAH WAKUU, It has been too long. mambo shwari? mi nko poa kabisa ndani ya ruvu 832 kj. nipeni bas yanayo jiri hapa
0 Reactions
0 Replies
808 Views
kuna jamaa alikuwa anatembea na mke wa mjeshi. Siku moja mjeshi alipigiwa simu kuwa anatakiwa kurudi jeshini. Akavaa fasta nakumuaga mkewe. Alipoishia tu mke wake akamuita yule jamaa mwingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kupata taarifa kuwa kumepatikana Gesi nyingi kuliko mwanzo, imebidi nirundi Nchinga maana huku Liwale job shida sana. Nimeikosa JF na nasikitika kuwa tumepotezana na Miss Chagga maana...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Kumuamini mpenzi wako asilimia 100% ni sawa na kupembuliwa mchele gizani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Close Previous
0 Reactions
1 Replies
753 Views
habar zenu wana jf, nimepata mpenzi mpiya yaani kitu kibichi kabisa,chaa ajabu maneno yameshaanza kutoka,eti wanasema mbona sifungi ndoa?nikifunga utasikia mbona hazai mtoto?akizaa utasikia...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
One spelling mistake can end your marriage. A man sent a message to his wife on his official trip and forgot to add "e" on the last word. He wrote:" Hi darling, I am experiencing the best time of...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wandugu.. Kuna swali nimeulizwa na rafiki yangu kipenzi nkakosa la kumjibu ila nikamuahidi ntawakilisha kwa wana jamvi yaweza patikana majibu...ninaomba tusaidiane mawazo etiii...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Ndugu wadau wa MMU. Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha kuwa mwana JF mkongwe Zion Daughter amebarikiwa kupata mtoto wa kike hivi leo katika hospitali moja hapa jijini Dar es salaam. Mama...
22 Reactions
152 Replies
11K Views
baada ya kukaa kwa muda mrefu bila mke, leo natangaza rasmi kuwa janeth1 ni Mrs. Mwanyasi. taarifa kwa mwenyekiti Baba V na rais Arushaone wakiwa viongozi wetu. dada na kaka zangu KOKUTONA amu...
8 Reactions
361 Replies
22K Views
Naaaaaaaam! Waungwana habarin za j4 kwa kila mmoja. Nimeona sitakuwa muungwana kama kama sitawapa mrejesho wakati nilitamka hadharani hapa kuwa namhitaji mtoto mzuri na mrembo Vaislay na watu...
3 Reactions
219 Replies
12K Views
Source: Instagram
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I love u guys
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Sipati picha kuvunja majungu na masufuria weekend hii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu! Sijawahi kuona kigodoro japo nasikia kigodoro tu; lakini sijaahi hata siku moja kuishuhudia kwa macho yangu! nasikia kipindi hiki cha kuelekea mfungo wa ramadhani vigodoro vinakuwa vingi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu. Mi bado najiuliza maswali mengi sana hasa baada ya Mh. Werema kumwita Mh. Kafulira kuwa ni Tumbili afu timbwili kubwa likaanza. naona aliekuja kama mwamizi alikuwa ni Mh. Wasira. Swali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
i am so blessed and it feels like i've found my way. i thank God for all I've been given at the end of everyday...namshukuru sana Mungu, Pamoja na wana wote MMU
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…