rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,327
- 5,599
Wakuu. Mi bado najiuliza maswali mengi sana hasa baada ya Mh. Werema kumwita Mh. Kafulira kuwa ni Tumbili afu timbwili kubwa likaanza. naona aliekuja kama mwamizi alikuwa ni Mh. Wasira. Swali langu ni je kweli alikuwa hakimu mzuri kwa kesi kama hiyo. Na je kama zingepigwa maswala ya chama yangefuatwa au uzawa na unasaba ndo vingefuatwa. Naomba mawazo yenu wakuu