Binadamu bwana hawana jema

Binadamu bwana hawana jema

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
habar zenu wana jf,


nimepata mpenzi mpiya yaani kitu kibichi kabisa,chaa ajabu maneno yameshaanza kutoka,eti wanasema mbona sifungi ndoa?nikifunga utasikia mbona hazai mtoto?akizaa utasikia ongeza na mwingine ili apate wakucheza nae,umeongeza mwingine ukasema ili wasiseme tena ngoja niongeze mwingine,Heeee!!wanakuja juu mara haaa!sasa hawa watoto wengi hivi unataka kuwafanyia biashara gani au unataka kuanzisha tim ya mpira?mnazaaa tu bila mpango
 
life ur life the way u feel no matter u ar ryt or wrong

huwezi kuwaridhisha kila mwanadamu mkuu

be ur self na maisha yako as long upo sahihi mbele ya muumba wako kwa kile ukifanyacho
 
life ur life the way u feel no matter u ar ryt or wrong

huwezi kuwaridhisha kila mwanadamu mkuu

be ur self na maisha yako as long upo sahihi mbele ya muumba wako kwa kile ukifanyacho
aisee.. you are very smart young lady!

I missed these beautiful words!

kwema lakini mbebez? huhuuu!
 
Poa, nimekusahau ujue nikumbushe we ni nani?
jamani! umebarikiwa sauti ya saa saba usiku! huhuhuu!
naitwa mandingo bin excellent..!
njoo pm tumalizie maneno yetu bhana!

nakutogagwa! ninkwenda! nakuhanja! nakukunda! huhuhuuu!
 
habar zenu wana jf,


nimepata mpenzi mpiya yaani kitu kibichi kabisa,chaa ajabu maneno yameshaanza kutoka,eti wanasema mbona sifungi ndoa?nikifunga utasikia mbona hazai mtoto?akizaa utasikia ongeza na mwingine ili apate wakucheza nae,umeongeza mwingine ukasema ili wasiseme tena ngoja niongeze mwingine,Heeee!!wanakuja juu mara haaa!sasa hawa watoto wengi hivi unataka kuwafanyia biashara gani au unataka kuanzisha tim ya mpira?mnazaaa tu bila mpango


if somebody talks behind your back it means you are three steps ahead of him

or he has nothing good to talk of himself

by the way what the other person talks about you is non of your business

afu sijaelewa vizuri KUNA KAULI IJAYO FUTURE TENSES NYINGI KWENYE UANDISHI WAKO

KIIMA NA KIARIFU CHEKI VIZURI , AFU KIVUMISHI NA KITENZI PIA
 
Back
Top Bottom