nikaichukua nikaweka mfukoniiii
ILI nikifika nyumbani niifungue niangalie
ndani kunaninii
SASAA nime iweka MFUKONII nashangaa kila
MTU ananiitaaa OYA vipi yani si
WADADA.WAKAKA,WA BABA,WA...
Madem wa kiswahili bwana, yaani uhusiano wiki mbili tu, mara twende nkakuoneshe mama, mara kila baada ya dakika kumi simu hata haelewi hata kama uko kazini, hilo la kuniita mume ndio limenikera...
Baada ya kubishana kwa muda mrefu, mbongo na mzungu wakafikia hapa
Mzungu: nakuuliza swali ukikosa unanipa sh 500 na wewe utauliza nikikosa nakupa sh 10,000.
Mbongo: poa anza mambo.
Mzungu...
Wanajamvi huu muda wa World Cup ni utata sana!
Wiki iliyopita niliingia katika daladala mbonji ikanipitia mazima! Baada ya muda konda ananishtua eti anadai nauli ya kwenda na kurudi (madai yake...
Unafahamu hayo? kuwa baadhi ya wanaume huwa wana wasiwasi,hofu na kila aina ya woga pale wanapotaka kumtogoza mwanamke? hasa pale ikwa mwanaume amempenda sana mwanamke huyo?.lakini pia kuna...
Miaka ya nyuma uongo ulikua mwingi jamani, yaani mtu alikua na uwezo WA kutunga jambo la uongo mpaka likawa la ukweli, ILA kwasasa inahitaji nguvu nyingi Sana kudanganya, mfano tulikua...
daaaah!maisha kweli ni darasa jamani tutake au tusitake,hivi ikatoa babu yako amemtongoza gf,mchumba au mke wako tena kwa ushahidi tosha unahisi utafanyaje au utamshtaki wapi/
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........
Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli...
Jaman mwenzenu
Namzimikia neymer mbaya huyu mchezaj wa brazil yan kila nikimuona network inapotea i hop siku moja nitaonana nae even ma dady he knw abt dat
Lazma nionane na neymer
I ril like him!
Habari wanajamvi,
baada ya kujiunga humu jamvini mid last year, juzi juzi niliyopost comment nikaona nimepokea like zaidi ya thelathini [30] nami nimetoa tatu [3] nikafikiria kwa makini hivi ni...
Kuna wadau wengi humu wamepotea JF either kwa kutokuwa na access ya Internet or Busy sana,Au wana maisha mapya,au walichokuwa wanakitafuta wamepata, na Wengine ndio vile kupoteza Uhai... na wakati...