JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
its net connection on your device and enjoy the fantastic 3G speed.get your now call or text 0759212578
0 Reactions
0 Replies
670 Views
Katika maisha ya kila siku, kuna vitu, mtu au jina ukisikia tu, unakumbuka kitu, vitu vingine au watu wengine. Kwa mfano mimi huwa nikimwona mtu fulani, huwa nakumbuka mwenge wa uhuru na huwa...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Wiki moja ina siku 7, Shule ya msingi madarasa 7, Huu ni mwezi wa 7, Tupo msimu wa sabasaba, Brazili wamefungwa 7, Game imeisha saa 7, Mathayo 7:1 inasema" na iwe hivyo kwa wenyeji wapewe vipande...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tokea nimebalehe mpaka muda huu nmekuwa na mahusiano na wasichana tofauti tofauti (hawazidi watano) mambo yote katika mahusiano huwa naplay sawa sawa kabisa isipokuwa moja tu, kudekeza! kila...
1 Reactions
40 Replies
15K Views
Wana MMU habari ya asubuhi,
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna hii tabia imezuka yani utakuta kijana ana nguvu zake lakini akiona wazazi wana vi-asset viwili vitatu bhaaaasi anabweteka na kusubiria wazazi wake wafe ili atanue na hizo mali, hlf cha ajabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa world cup imeisha rasmi, wale ambao waume zenu walikuwa wanarud usku wa saa nane had kumi kisa world cup mjue imeisha akikwambia alikuwa wodi cup ujue anaweza kuwa ni mchepukaji
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baba Mkwe akiwa mjini songea, aliipaki gari karibu na duka moja ili ajipatie mkate. Baada ya kujinunulia mkate wake,akaelekea liliko gari lake. Hapo ndipo alipomkuta chizi mmoja pandikizi la mtu...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wale wana-MMU wanaopenda mpira , natafuta company kumalizi hii ngwe ya mwisho ya WC 2014. itakapo bamba ndiyo huko huko nielekee, tukishushia na burudani na shamra shamra za hapa na pale...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Hello wakuu, kwanza habari za siku nyingi? naomba radhi kwa wale wapendwa wangu wa hapa ambao hatujaonana ama kusalimiana siku nyingi sana. Leo naomba kuuliza hivi wangapi tunakumbuka "school...
0 Reactions
50 Replies
7K Views
1. Simba mwendapole... Huyo ni Sharobaro 2. Asiyefunzwa na *****.. Ujue Mama hajapitia Ualimu 3. Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehemu 4. Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata Ufagio 5. Hakuna...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna kabila gani hapa tz lenye wasichana warembo kama wachaga na wapare(kilimanjaro kiujumla)
0 Reactions
82 Replies
15K Views
habari wakuu?nitakuwepo hapa mjini kwenu kwa wiki mbili. wana jf wa hapa tutafutane!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeshaweka reserve kwa ajili ya watu wawili tu, mie na mdada kutoka MMU, pale Mlimani City kwa ajili ya kuangalia Final ya world cup 2014. Kuna jamaa zangu nilikuwa naangalia nao, yaani ni...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huwa wanaboa Sana, unakuta mtu anakwenda bar halafu ananunua maji tu au soda moja halafu anakaa siku nzima kuangalia tv, seriously watu wanalipa bili ya umeme wewe unakaa na kasoda kamoja the...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Pitia hapo ucheke Dem: Baby mapenzi mi na wewe sasa sitaki mpaka tufunge ndoa.. jamaa: ok! Na mi masuala ya kuomba pesa m-pesa subili mpaka tuoane.. dem: ha baby hutaniw?
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Habari za mchana ladies and gentlemen! tunatambua fika kuwa MMU ni love zone.. MMU ni stress free zone... MMU ni sehemu ambayo people dare talk happily! sasa basi, naomba leo tuongee sisi kwa...
12 Reactions
512 Replies
25K Views
Karibu kila wimbo una mistari inayokamata. . . naanza na Msumari - Mzee Yusuph. Dedication kwa wale wapenzi wa taarab, wakiongozwa na NN. Vipi tena? Msumari huooo. . . Msumari una nini...
6 Reactions
125 Replies
21K Views
jamani kila nikimkumbuka yule sheikh jongo aliyelia bungeni na kudanganya anakosa usingizi kisa nyerere katukanwa huwa nacheka saaaaana kilikuwa ni kilio cha sekunde kama 3 tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wa Jf mara nyingine ktk pitapita zangu nimebahatika kukaa vikao vingi bar nimegundua ya kuwa wanywaji wengi wa pombe huwa wanaenjoy sana wakutana na wakinywa pombe pamoja. Pombe na walevi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…