Jamani nashindwa kulala mpaka sasa hivi....nmepata mgeni ana sugua meno hatari na nmelala nae room kwangu.
Wengine humu wanamatatizo kama haya au kuzidi haya.
Utakuta mtu anakoroma kama simba...
Nakumbuka siku ya kwanza kufanya scrub na massage ilikuwa tabu sana, mzee alikuwa akisimama bila utaratibu maalum, mwili unasisimka na hasa kama anayekufanyia ni mdada mrembo, wakati mwingine...
Mama na Mwana
MTOTO: Mbona jogoo humkimbiza kuku jike?
MAMA: Kadokoa chakula chake.
MTOTO: Mbona beberu humdandia mbuzi jike?
MAMA: Kachoka kutembea anataka kubebwa.
MTOTO: Kwa hiyo baba...
Jamani huyu mkaka sijui yuko wapi tangu nilipomwonaga kwe ile party mwezi uliopita siku hiz haonekani hapa kwa Mjini.Nayeye yuko alinambia ni mtoto wa kwa mkubwa wa serikali na hata ndie...
Heshima kwenu wana JF.
Hii ilitokea maeneo ya gongo la mboto wakati jamaa alipokuwa anavua suruali na kuisachi ndipo akagundua imebaki shilingi 2000 akaenda kununua chipsi kavu na soda akala kisha...
najua wajua humu jf wasomi ni wengi ila robo tatu ya wote hawajui kutumia akili zao vizuri -najua wajua ila nataka nikujuze zaidi Tanzania ni nchi yenye viongozi wenye upeo mdogo zaidi wa...
Inasemekana kumtahiri mtoto mdogo inaweza kusababisha uume kuto kukua vizuri kutokana na kovu na kutokomaa kwa misuli ya uume,kwa mantiki hiyo wanao lia lia vibamia hapa jamvini yawezekana...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, huu ni mchanganuo wangu wa elimu ya juu.
1.ni elimu ambayo ukikosa mkopo nazani stress na sup zitakuandama kama wewe ni mtoto wa pinda.
2.kuchagua koz hapa kuwa...
Ni kwenye stationary fulani maeneo ya mama John Mbeya ee bana uko busy ile mbaya hasa jukwaa la wapevu. Mimi ndo ninayebindiwa kitabu changu kha, hebu niPm jaman tuone mipango inakaaje...
Jamani yamenikuta home, leo kimenuka balaa yani asikwambie mtu, mtoto wa kichaga kafumania bili ya kinywaji mfukoni wakati wa kufanya ufuaji,
Infact kama siku mbili nilichonga mchongo na machalii...
Yamenikuta, nani anaukumbuka huu wimbo?
Nimeingia saluni kutengeneza nywele , si
unajua kuweka blaki .Basi nimeingia saluni ,
kwanza mambo siyo kama enzi zilee,
nimepokelewa na wadada wawili...