Elimu ya chuo

Elimu ya chuo

uwepo

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
600
Reaction score
743
Rejea kichwa cha habari hapo juu, huu ni mchanganuo wangu wa elimu ya juu.

1.ni elimu ambayo ukikosa mkopo nazani stress na sup zitakuandama kama wewe ni mtoto wa pinda.

2.kuchagua koz hapa kuwa makini maana ukirud kitaa utabeba bahasha mpaka vidole viote kwenye bahasha

3.kama ukikaza utabaki chuoni ili uone utamu wa kutoa sup za makusudi ili upate.

4.Ahaaaaaa ukiwa na nokia ya obama ni matatizo namaanisha smart ndo utawala

5.kuna vyuo ukisoma unaishi na stress sana kama makumbusho ya UDSM

6.na we ongeza uzoefu wako
 
Ahahaha dah eti kubeba bahasha mpaka vidole viote kwenye bahasha. Hiyo number Tatu ndo kichekesho.
 
Vipi usipokuwa na smartphone huko chuoni hali inakuwaje in general
 
hapo kwenye smartphone inategemeana na chuo mfano IFM usipokua na smartphone kweli utajihisi kama umekosa kitu cha muhimu sana
 
Maisha ya chuo ukienda na ile ideology ya kula bata ndiyo utakuja kujuta, watoto wa mama salma wapo huko.
 
Back
Top Bottom