Namuangalia jirani yangu hapa, ana pochi 2 moja kubwa kama bag, pembeni kuna sandal na mocas , mezani pembeni kabisa kuna kontena kapo empty mida hii ..akifungua hiyo pochi utacheka mwenyewe...
KDDDA Company
Box Musoma
APLICATION OF JOB
I am aply to my job of security guard to you boss in you company of KDDDA . I am complete to Sitandad 7 examination certificate in 1997 . My skool...
Nawashauri msipende kuvaa suluari maana mnachoreka sana. Kama una flat screen yako tafadhali vaa sketi au gauni utaonekana vema zaidi kuliko ukiwa na suluali.
Mungu katuumba tofauti na kuna...
Wewe ni dereva wa daladala jijini Dar, katika penya penya zako barabarani ukafanikiwa kufika karibu na taa zinazo ongoza magari wakati huo taa zimewaka nyekundu kuashiria kwamba si wakati wako...
Wengine tunakaribia ujana ,sasa huku mitaani kuna mastori kibao tunapokutana kwenye vijiwe vya kahawa na kashata ,kuna jambo limezuka nikaona nikimbilie JF kupata wachambuzi ni wakati wa tendo...
Mama:ingiza haraka
Mtoto:wapi?
Mama:kwani huoni shimo? We mwanaume bwana
Mtoto:nashindwa mama
Mama:jitahidi nakutegemea
Mtoto:kumbe ni kazi hivi?
Mama:malizia kabla babayako...
Aisee nimewamis humu ndani usipime ndo hivyo tena nipo kijijini nafukuzana na ngedere na kwale wasile mahindi ha ha wabishi haoo!! ....... natumai mu wazima!!!............. Sasa...
Wengi watakuwa wanakumbuka lile tangazo la Coca Cola la PRIIIII na baadae likaja tangazo linaloisifu Afrika halafu mwisho wakamalizia na ujumbe END IS NEAR.
Hivi walikuwa wanamaanisha nini vile ?
Bora uishiwe fedha utatafuta zingine kuliko kuishiwa nguvu za kiume, maana utamuomba nani kila mmoja ana kazi nazo,na alizonazo hazimtoshi kwa matumizi yake binafsi, ogopa kuishiwa hiyo kitu mzee!!
Ha ! Ha ! Ha ! Huyo binti yako anaitwa nani ?
Ah ! Achana naye, naona hasira hata kulitaja
jina lake, alisema mama Juliana huku
akionesha hasira za waziwazi kwa binti yake
huyo .
Muda wa...
Habari wana jf.iv jaman ubusy katka masomo unaweza kusababsha usimpgie simu umpendae mwez?tuseme mwenzetu vocha uweki? Na mahusiano kuvunjwa utaki.je, jaman huku si ndo kuanza kumulka mwiz?Ebu...
Hahahahahhaha ni sheeda
BOSS anamwambia seksetari wake:
Wiki hii
tutaenda wote Arusha kwenye
mkutano
fanya mipango yote
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda
na
bosi Arusha kwenye
mkutano...
Mwalimu Wa Hesabu Alikuwa
Anafundisha
Akamuuliza Juma Swali,
Mwalimu: Kama Kwenye Mti
Kukiwa Na
Ndege 100 Halafu Ukachukua
Bunduki
Ukawaua 20 Watabaki Ndege
Wangapi?
Juma: Hatabaki Hata Mmoja...
Unamwona mtu anafanya kitendo ambacho unajua kabisa matokeo yake ni mabaya sana
kwake, unamshauri aache lakini unakuona wewe ni zoba.
Muda si mrefu mabaya kweli yanamtokea na anatembea mtaa wote...
kwani ni lazima kumuonga penzi profesa ili ufaulu course??.
Kwani ni lazima kupiga picha za utupu ili uwe ma_harufu??
Kwani ni lazima kuwa na m/michepuko??
Kwani ni lazima kumchukia mdada...
Mke baada ya kufa, akakutana na mumewe mbinguni, akamwambia,"Mume wangu bora tumekutana tuendeleze mapenzi yetu".
Mume akajibu,"Weee! weee! Ishia hapo hapo, tuliapa kifo ndio kitatutenganisha...
Bongo unashabikia Simba wekundu wa msimbazi
England unashabikia Chelsea
Ureno Benfica
Hispania Barcelona
Italy Juventus
Siasa Chadema
Msosi unaopenda ndizi nyama
Mziki hip hop
Unatumia...