Msaada jamani nataka kubadili my username kabisaaaa loh!......

Msaada jamani nataka kubadili my username kabisaaaa loh!......

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Aisee nimewamis humu ndani usipime ndo hivyo tena nipo kijijini nafukuzana na ngedere na kwale wasile mahindi ha ha wabishi haoo!! ....... natumai mu wazima!!!............. Sasa bwana si nataka kubadili hili jina mana dah kuna watu humu ndani utasikia 'vipi Mr'jamani jamani mwishowe jinsia yangu itabadilika wallah tena naogopa....!! Wengine washantabiria ooh huyu munkari atakuwa na munkari sana kwenye naniu.. khaaa jamani mnaona wanavyonchokoza sasa nataka wasiseme tena nabadili kabisaaaa!!...... Tatizo linakuja kila ninapoweka jina nnalotaka naambiwa lipo used aah embu nisaidieni basi kuchagua liwe zurizuri la kifemalefemale ntakalolipenda ndo litakuwa username yangu mpyaa kabisaaaa! Afu atakayebahatika kunipa hilo jina humu zawadi nono itatolewa juu yake! Ha ha (msiniulize zawadi gani) haya anzeni basi nasubiria..................
 
Lydia, Lydia1, 2,

ha ha zuri ila mmmh hili jina hili la mtu niliyekuwa namchukiachukia sa sintajichukia tena loh em ngoja nilifikiriefikirie tena mweeh!! Btw-naona umepata jiko hongera ha ha!!
 
ha ha zuri ila mmmh hili jina hili la mtu niliyekuwa namchukiachukia sa sintajichukia tena loh em ngoja nilifikiriefikirie tena mweeh!! Btw-naona umepata jiko hongera ha ha!!

hahaha twende kwenye sherehe nimepata mwali janeth1
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom