Nilipojiunga na JF karibu miaka mitatu iliyopita, nilielekezwa jukwaa la utambulisho nijitambulishe huko.Badae nikaelekezwa kusoma sheria na kanuni za JF nikazisoma nikajitahidi kuwa memba makini...
Kazi ya modes haina makosa.. come back soon my love...
kuwa kifungoni inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana!
I still love you a lot miss neddy, as you being my queen and me being your king...
Hi wana MMU,
Sipendi kuchungulia simu ya mpenzi wangu hasa txt au whatsapp but contact ntajitahidi nione kani save vp... kwa niliowahi wa-date nilibahatika kuona wamenisave hivi.... niliangua...
Viongozi wangu wapendwa sana bila kujali wanatoka wapi CCM CHADEMA CUF NCCR viongozi wa dini na serikali na viongozi wa tiafa la Tanzania. Hivi mbona mmezidisha tamaaa?? Mnakumbuka ile methali...
Asilimia kubwa ya watu wa jf wamesoma na wanajiita ni great thinker.
kwa uchunguzi wangu nimegundua yafuatayo
kuhusu watanzania njisi mambo wanayoyawaza kila wakati,
1, mapenzi (44%)...
Dada mmoja mshabiki wa urembo alivaa vazi lenye rangi nyekundu na kutinga kwenye
red carpet ya redd's miss tanzania 2014.Akakutana na mtangazaji wa star tv na mahojiano yakaenda hivi:
MTANGAZAJI...
Vijineno vya shombo vilivyozoeleka kupatikana ktk vazi la kanga sasa vimehamia ktk wall status ya watumiaji wa mtandao wa WhatsApp"
1.Unanichunga utaniweza?
2.Bahari hailindwi.
3.Nikuogope...
Back to headline!! Yegoo nimerudi sio kwingine bali nyumbani JF,, nilipotea kwa mda jama!!
Vilevi nimehama kule wanakopatikana ma Yegoo na sasa niko jiji la Dar!! Jamani Dar kuzuri acheni tuu...
Relax lazy bones. It might be time to embrace your inner underachiever.
In a world where work-related stress has rocketed could the most intelligent option be simply to find the least-taxing, most...
Watsup status zinazoboa!
1.Hey there am using Watsup- tangu Siku ya kwanza watsup kajiunga 2najua hilo ndio mana unasomeka kwenye ac zetu
2.Sleeping! Siku 5, utakua umekufa wewe..��...
Wana Jf, kwa atakayejibu swali hili kwa ufasaha atapata zawadi toka kwangu. Swali ni
"Kuna neno moja ambalo limebeba jina la mnyama, ,Jina la mtu na jina la mkoa. Je, hilo ni neno gani?
Hakika Nitakuwa mchoyo wa fikra kama sitomshukuru Mwenyezi Mungu swahanaa wa taala mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupii nene na nyembamba hasa kwa wale wasiomwaminiiii
Napenda...
Unakumbuka ulipokuwa shule ya msingi au secondary ulitandikwa fimbo ngapi kiwango cha juu na mwalimu nani kisa nini?
Mi nilichapwa na mwalimu Mbisse fimbo 47 kisa kumtukana monita kwamba ana...
Wana jamvi.
Hiki kitu kimekatazwa katika vitabu vya Mungu vya dini zote, lakini niseme Punyeto ni msaada kwa waliokosa wenza muda mrefu kwa sababu zifuatazo:-
1.Ametalakiana na mwenza
2. Mwenza...
wanajamvi leo ngoja tujikumbushe kidogo. Je we ni mhanga wa mapenzi au bado? Leo njoo tupunguze machungu na mikunjo mioyoni mwetu kwa kuwataja watu au wapenzi ambao walitesa hisia na akili yako...
Mwe!! wenyeji sa saa hisi?me kwa majina naitwa Indungu silipanja mwakitongosye, tatiso lililohifanya nije hapa ni hili mimi nimekuja jusi jusi hapa dasalam,nimefikia kwa mujomba mmagomeni mapipa...