Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,900
Viongozi wangu wapendwa sana bila kujali wanatoka wapi CCM CHADEMA CUF NCCR viongozi wa dini na serikali na viongozi wa tiafa la Tanzania. Hivi mbona mmezidisha tamaaa?? Mnakumbuka ile methali?? "Tamaa mblee mauti Nyuma"?