Kuna IDs ambazo wakilianzisha kuna nyomi na vumbi linafuatilia.
Kuna IDs hata wakianzisha misemo basi inaingia kwenye tamusi ya JF.
Kuna IDs ambazo at least 80 ya wana JF wameweza ku-interact...
Hili ni swali la kawaida kabisa.
Wakuu,
Naomba kuuliza, mnivumilie jumamosi ya leo nina maswali ya kuwauliza kwa hio kila ninapouliza nijibiwe.
Umewahi kufananishwa na mtu ambae haufanani nae...
Habari ndugu wa jf, hili linaonekana mara nyingi kwa baadhi ya watu walio pitia shule na hata ambao hawakupitia, ila nikwamba walimu wa kiume mashuleni kwenye swala la kuchagua sketi wako vizuri...
Moja kwa moja .
Iwe stori au chochote muhimu ili kuwafunza watu kuwa bange si kitu kizuri na ni mbaya kwa akili mwanadamu.
Nakumbuka nimewahi kumpoteza rafiki yangu wa utotoni Allaah amrehemu...
Maisha ni kujipa furaha pale unapopata nafasi, maisha hayahitaji usiriazi sanaa, kama vile unataka kuvumbua sayari yako.
Yote yanapita, muhimu kuipa furaha nafsi kwa kuwa wote tunaishi mara moja...
Hello members,
Kwanza kabisa, mimi sio mwanaume! kuna watu wananifahamu na ninaongea nao mambo mbalimbali ya kiimani na kibiashara! mimi sio malaya wala shoga! kukaa kwangu jf muda mwingi au kila...
Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana.
Nilikuwa...
Jana baada ya umeme kukata na ule uzi wa raarifa kufunguliwa kila mtu alikua anatoa ushuhuda eneo lake halina umeme, sijui kwimba, Tandahimba, tunduru, kibosho, changanyikeni, nyakasangwe, kaliua...
Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo.
Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni...
Kama unampenda mama usipite uzi huu bila ku like binafsi nampenda sana mama yangu
=============
ILOVE YOU MY MOTHER
»»»»»»»»»»»»»»
Usiku mwema wana jamvi
Misemo ni mingi sana na kila siku kunakua na misemo mipya kweye mitaa mitandaoni' ila
Leo
nataka ushare
msemo
wowote ule ambao umewahi kuuona
kwenye bodaboda au gari ambao una
kautata
kidogo au...