.KATIKA PITAPITA ZANGU NILIKUTANA NA HII YA HUYU DOGO IMENIFURAHISHA SANAA...!
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la
nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina...
mimi nikijana wa miaka 26 nilikuwa naishi na mke wangu kipenzi ambae tulikuwa tunapenda sana
siku moja nikiwa nyumban ndipo nilipopigiwa cm na rafiki yangu niende kuonana nae ufukweni COCO BEACH...
Kimsingi hakuna kabila la WAPARE ...............Hilo ni neno wachaga walilowatania hawa ndugu zetu, kabila kubwa na hao wanaoitwa wapare ni WAASU..................NAONA HISORIA IMEPOTEA HATA WAO...
Za sahizi wakuu!
Niliwahi kumsikiliza Dk Ndodi aliwaponda sana watu wanaowaita wake zao MAMA, alisema ni kuwakosea adabu wazazi waliotuzaa.
naomba tushare hapa najua kuna watu wa kila rika.
Habari Wanajf..
Hii Habari Nimetoa BBC Swahili..
Wanawake Tuwe Makini Na Tunaowaita Wapenzi Wetu..
Polisi nchini Austria wanawahoji
wanawake ambao wamehadaiwa na
mwanamume mwenye mazoea ya...
Habari za asubuhi wajameni! Hapa nilipopanga(uswazi street) nipo jirani na madada fulani ndani ya nyumba moja ya kupanga.
Hawa wadada ni warembo haswa na nilikuwa na mpango wa kuwatokea siku...
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivo?
Mtoto: Nina akili...
Basi mwalimu kamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha...
Habari WanaJF..
Je Ungepewa Nafasi Ya Kurudia Usichana Wako[kama ni mwanamama] Amaa Ujana Wako [Kama Ni Mwanababa]Ni Kituu Gani Ambacho Ungetamani Saana Ukibadilishe Ili Maisha Yako Yawe Sawa...
Unajua wengi hizi shule tulikuwa tukisoma kwa mkumbo tu bila kujua baadae itakuwaje, wengi tumejitambua baada ya ama kuingia chuo ama five na six, nachotaka kujua nini kilikuwa kinakuvuta kupenda...
Kuna watu huwa wanadhani wazee watu wazima wakikaa pamoja huwa wanaongea point saaaana, wanafikiri labda wanazungumzia biashara hivi, maswala ya kisiasa na mambo mengine ya ujenzi wa taifa. Kama...
Salaam waungwana wa CC!
Nina rafiki yangu hapendi kuchangia mada hasa kwenye vikao vya kazi, ilifika mahali nikamuuliza kwa nini anahali hiyo...ni kwamba haelewi kinachoongelewa au kiburi tu...
Komenti ya mchangiaji mmoja anayeitwaObama wa Bongo post #2 kwenye thread moja inayomhusu Ommy Dimpoz ni kichekesho tosha. Inyake hiyo thread HAPA ucheke kimyakimya!
Baada ya muda mrefu MUNGU kukaa kimya na kutotoa adhabu kwa watanzania, MUNGU amekusudia kutoa tamko na onyo kali kwa sababu ya upole wa watanzania uliopitiliza. MUNGU anakusudia kutoa tamko na...
Iwapo pengine utasherehekea birthday yako siku za karibuni,watume rafiki zako hapa JF wamwombe mpambaji maarufu wa sherehe za jf aitwaye afrodenzi.Huyu mdau ana utaalamu mkubwa wa upambaji ambao...
Siku moja mwalimu alikuwa darasani ambamo kulikuwa na mbao mbili za kufundishia Ubao mmoja uliokuwa pembeni mwa darasa ulikuwa mweusi na mwingine uliokuwa mbele ya darasa ulikuwa mweupe, sasa...