JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
habari wana jamvi? binafasi napenda kukutana na kutengeneza marafiki wapya mahala popote nafasi itakapojitokeza. kwa sasa numejiunga chuo cha diplomasia hapa dsm, hivyo ningependa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
.... #wcw ni moja kati ya hash tags zinazotumika kwa kasi sana hivi sasa katika mitandao mikubwa ya kijamii... sio mbaya kuileta na hapa jf especialy MMU maana ndo mahara pake haswaaa. #wcw...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Wakuu ntafika asubuhi kutokea Mwanza napenda tufahamiane wakubwa,nategemea napokezi kabambe kwa wale kumi wa mwanzo samaki watawahusu.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
full name
0 Reactions
7 Replies
1K Views
http://whatsappvidz.com/whatsapp-videos-v111
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WAKUU NIAJE BANAA.HABARI ZENYUU BINAFSI.banaa waku kuna ndoto nimeota ila mmh kikweli imenishangaza kidogo.kuna dada mmoja nafanya nae kazi kikweli hakuna zaidi ya salam tu.jana si nika muota...
0 Reactions
7 Replies
971 Views
Ndio kwanza kashuka kutoka nyumbani Tanzania ,baada ya siku mbili tatu amechangamka na kuwa anazungumza kama yupo Tz,sasa siku moja tumekwenda dukani,moja kati ya maduka makubwa hapa mjini...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Asubuh na mapema unaamshwa kwa hodi na kilio kikubwa, unafungua mlango unamkuta ni rafiki yako wa karibu sana na analia kwa uchungu mno. Unajitaidi kumnyamazisha lakini wapi, huku anaendelea kulia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ONCE UPON A TIME There was 3 best friends Mike, Josh and Chris.These guys were good friends,they were very open to each other.Many people envied them and tried to destroy their friendship but...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu wapendwa wote wa jf kwa wale waliobahatika kulalia vitanda vyao nadhani wameamka salama pia kwa wale ambao kwa namna moja au nyingine hawakulala wote salam kwenu
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Haiwezekani kwamba shida yangu ni milion tatu tu nimemaliza marafiki zangu karibu 7 kila ninaemueleza anajifanya hana pesa longolongo kibao,urafiki huu wa mimi tu kujitoa kwa ajili yao naona...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Zamani enzi zile kuna chupa bia fupifupi nene, ilikuwa mwanamke akionekana ana mguu mnene halafu mfupi wanasema eti ana mguu wa bia....!! Sasa najiuliza hivi.....baada ya mabadiliko ya zile chupa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alishikwa ugoni na mke wa mtu, mwenye mke akamwambia mgoni wake achague adhabu moja kati ya hizi tatu. Adhabu ya kwanza Achukue kiwembe kipya kisha ajichanje umili wake wote...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Siyo utoke nyumbani kwako na kitoyota starlet chako na wese umeweka la buku 5 na mfukoni una buku mbili uone Samaki samaki ndio sehemu ya kupotezea muda utaumbuka.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
A husband and wife are trying to set up a new password for their computer. The husband puts, "Mypenis," and the wife falls on the ground laughing because on the screen it says, "Error. Not long...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, Pale BOT hakuna mama anayekubali uzee. Wamama wa BOT wana swagga asikwambie mtu. Hakuna mama wa BOT asiyejiweka make up, tena make up hasa kama ile ya Asha Baraka. Ukifika BOT, wamama...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
A boss said to his secretary I want to have S.E.X with you I will make it very fast. I'll throw $1000 on the floor, by the time you bend down to pick it I'll be done. She thought for a moment then...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Wengi wetu muda kama huu tumechoka, makwazo mengi na mambo mbalimbali. Hebu basi pitia hii video "OMG Moments" waweza kujikuta uchovu unapungua, na makwazo nayo yanasahaulika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpaka Kero Wote Abiria Wote Tunamuangalia Sijui Kakumbwa Na Nini Huyu Mtu!
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimepanda daladala kutoka kariakoo kwenda mbezi sasa kuna mdada alikaa pembeni yangu anabofya simu yake samsung galaxy sasa kaachia mwanga mkali kama chub lite vile cha maana anachukifanya hamna ...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…