Leo mchumba wangu amekuja kunitembelea,nmekaa nae tokea saa 10 jioni kila nikimgusa ataki eti oh Dia nasikiliza bunge..
Nlikuwa nahamu nae sana since June tuliachana sasa tumerudiana analeta mambo...
Mwalimu wa shule asomayo Nunda aliwaambia wanafunzi waondoke mapema na kesho yake kila mmoja awe ameandika Insha ndefu awezavyoh !
Siku iliyofuata wanafunzi wengi wa darasa la analosoma Nunda...
Nunda ilitokea siku moja akavutwa na baba yake waende kanisani ,wakaingia akiwa na furaha kwani ni mara yake ya kwanza kuingia Kanisani ,akaa pembeni mwa baba yake akiwa tayari kumsikiliza...
Haya wapenzi leo alhamisi nimefungua uzi huu tutakua tunajuzana wapi kinajiri nini kwenye masuala ya starches.
Anaeona uzi haumfai aruke na kupaa kruuuu sitaki shobo wala jasho la mtu hapa...
GreatThinkers,
Inaonekana amekera watu wengi mpaka sasa wamesema basi, kama ataleta za kuleta ktk hili jambo basi ajiandae kupigwa.............
Labda kama kuna mwingine ana taarifa zaidi kuhusu...
Naomba tuwe wa wazi umu je ungeingiziwa pesa zaidi ya billion moja na benk ya mkombozi sijui ni mkombozi wa mafisadi bank.Je ungekataa? Naomba uwe wazi .
Juzi kati niliwakuta vijana fulani pale mtaani kwetu wakibishana kwamba ni kabila gani huko bara wanawake wanaongoza kwa kuwa makalio makubwa.
Kijana mmoja ambaye aliishi huko bara alidai kwamba...
I cant sleep because I have been thinking of you much.....I cant eat because all I do is think of you.... I cant concentrate because you are constantly on my mind..... I cant work because all I do...
Habari zilizotufikia hapa kwa sasa hivi imethibitishwa kuwa Waziri Mkuu amejiuzulu kutokana na skendo na kashfa zinazomsakama. Akiongea na waandishi wa habari kutoka USA, rais amethibitisha kuwa...
Umofia Kwenu wana JF,
Najua Escrow ndio habari ya mujini lakini tusiwasahau nao kina PAP wengine.Huwa najiuliza TCRA wapo wapi? Watu wanaibiwa wao wapo tu,hivi inawezekana vipi utimize ndoto zako...
wiki iliyo pita tumetembelewa hapa chuoni kwetu na watu wa damu salama, yule afisa alieleza mambo mengi juu watu wanao paswa kuchangia damu na magonjwa ambayo yanasababisha watu wasichangie. Vile...