Katika daladala mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto wake.
Mtoto akakataa!
Mama akamwambia "nyonya
kama hutaki nampa Anko anyonye" (Anko ni kaka mmoja abiria aliyekaa na huyo mama pembeni)...
Ulinikataa mbele ya rafiki zako. Ukanitangaza vibaya. Kusema kweli nilinyong'onyea sana. Inakuwaje sasa unaanza kuni PM na kunitumia sms za ajabu baada ya kuona niko na mtoto wa kizanaki.
Kusema...
Wanaume wameachana na kutamani makalio sasa mioyo yote imehamia kwenye hips yaani mwanamke akiwa hata flat screen kinamna ila hips imechomoza vidume hoiii
Unakutana na binti mkali,ana kila sifa ya kuitwa mrembo.Ukimuangalia kutoka chini mpaka juu humtoi kasoro.Mtoto bado mbichi kabsa,ukimkadiria umri wake unaweza kusema ni under18.
Ukimcheki...
Pamoja na kuwa yupo kwenye ile ya wasaka tonge team lakini nampendaga sana huyu mh. najikuta napenda kumsikiliza anapohutubia. Natamani kufanya nae maongezi kama rafiki wa kawaida.
Wadau, mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati bado mdogo sana kiumri nakumbuka kusikiliza na kupenda nyimbo za jamaa mmoja aitwae L.M. Mugarula aliyekuwa akiimba na dada mmoja ambaye kutokana na sauti...
Nunda akiwa darasani na mwalimu wake aitwae Jeni akiwa katika kufundisha somo la sayansi ya baiolojia juu ya mzunguko wa damu moyoni ,ghafla Nunda alinyanyua mkono na kusema anasuali anataka...
Amani ya bwana iwe nanyi wadau,
tukiwa tunaelekea katika msimu wa sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya;ni dhahiri shahiri kwamba kila mmoja wetu angependa kumpa/kumpelekea mpenzi wake /mwenza wake...
Hakuna ubishi Members wengi wa JF tunapatikana Dar, haya tufahamiane kama majirani kwa kucomment unapoishi kwa hapa Dar
Me napatikana Makongo juu, karibuni tufahamiane jamani.
Ni siku sasa zimepita. Tena zimetimia na kuunda wiki nne nne zinazounda mwezi.
🌃Nilianza kuhesabu mwezi wa kwanza, ukaja wa pili wa tatu nk. Kwa muda wote huo nilijiona nimekua...
Nategemea Kusafiri Kwa Muda Mrefu Kidogo Kuanzia Muda Huu Ninapoandika Uzi Huu Na Nitapotea Kidogo Humu Kama Kwa Mwaka Moko ( 1 ) Je Mngependa Nikirudi Mwakani Tarehe 18 Mwezi February Niwaleteeni...
Wanna be the best copycat ever and ever in the world?? Don't follow your dream but follow others.
https://www.facebook.com/video.php?v=869631376426697&se...