SIku moja Nunda alikuwa anenda kwa babu yake ilikuwa ni wakati wa likizo ,sasa alifungasha nguo na mizigo miwili mitatu na kuiweka kwenye mkokoteni ambao alitengenezewa kiasi chake ,kwa babu yake...
Mdau anahojiwa ktk kipima joto ITV kachapia mchapio ambao sijategemea kabisa
"Yaan serikal kaz yake ni kuja tu na kauli mbiu lakin hakuna cha maana ,saiv wameleta hii BEST RESULT DAY ooh sorry...
Jamani,
Nimefika Hapa Jijini Jana Jioni, nikaamua Kwenda Kuchukua Chumba Katika Gest Moja Naihifadhi Jina Maeneo Ya Sinza Kwa Remmy. Kwa Nje Ina Muonekano Mzuri Sana Na Wa Heshima, na Bei Ni Sh...
Jamani nimesikia tetesi kuwa Vengu yule msanii wa Ze Komedy kuwa hatunaye. Nimezipata habari hizi kwa mtu aliyenithibitishia. lakini kupata uthibitisho zaidi nimelileta kwenu jamvini kwa mwenye...
POPOTE ULIPO NJOO HUKU TUOMBE MSAMAHA MKUU
KAMA HUTAKI MIMI NAJISALIMISHA MAANA KUNA WENGINE WAMESHAPIGWA BAN KWA SABABU YETU KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE
KATALINA
ISMAIL
NA WENGINE NA WENGINE...
Habari za weekend wapendwa,
Rafiki kanipigia twende out nikamkubalia nikifahamu nina elfu 75000/= kwenye mpesa,kuja kucheki nina sh. 386/= na nikakumbuka jana asubuhi nilimtumia bwana mdogo...
Mimi kwa upande wangu sitasahau yafuatayo 1.sitosahau siku ya kwanza nilivyo ingia kichwa kichwa jukwaa letu lile aisee nilipewa za uso na nilishambuliwa mpaka nikapata wazo la kuanzisha jukwaa la...
Tarehe 01/04 inajulikana kama siku ya wajinga duniani kwa lugha yao ni ''creative day''. Mpenzi wangu tarehe hiyo anafikisha miaka kadhaa ya kuzaliwa.
Naombeni mnichagulie zawadi nzuuuri na...