JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Je, mchepuko huondoa stress au huongeza stress?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ameaga vizuri anakwenda kuangalia mechi, lakini akamatwa ugoni wakati hata mpira wenyewe haujaisha. Ni hatari sana jamani kwanini msiokoke?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi naanza jamani kwakwel kwa muonekano wa haraka.. napenda sana mwanaume mweye rangi ya brown(maji ya kunde) akiwa na mvuto kiasi usizidi sana
5 Reactions
342 Replies
39K Views
Hizi mvua nasikia zumejiunga na bando la mwezi, tupia mbali mb8 #hazibeep #zinapiga lol.
0 Reactions
0 Replies
623 Views
sisi wembamba atukondi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umbea kazini upo kwenu na mbona hawakosi kila sehemu?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kyaal ghai mahadhapa,namaskar.Larki gaal larki gaal larki boi navajurat.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma. Nimemwambia wife nalala Abla apartments, kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafta rafiki wa kweli Tukutane PM
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Kule Kwa Wenzetu Wanautamaduni Wao Kila Wanapolala Mfn: USA-Good Night UK-Nice Dream Australia-Enjoy the night Canada-God Be With You Tonight. Ila Kwetu Sasa Arusha-Usisahau Blanket Dsm-Umefunga...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani, Bwana Yesu Asifiwe! Habarini Za Asubuh! Basi Kama Umeamka Salama Mshukuru Mungu. Iko Siri Pia Ktk Kumka Mapema Kwani Adui Mkubwa Wa Mafanikio Ni Muda. Na Kama Biblia Inavyosema Kuwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Naomba ku'declare interest' kwa huyu dada ni kuwa ananisuuza mno azungumzapo hivo hupunguza 'stress' zote. Ninazokuwa na kupenda kusikiliza kipindi chao cha "Yaliyomo Yamo" radioni...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Waungwana tuambiane, Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini? -umri alionao? -majukumu aliyonayo? -mawazo aliyonayo? -pesa aliyonayo? Au nini? Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Juzi jumapili nilitoka gheto sinza nikaenda soko la mabibo kufanya manunuzi ya wiki nzima kama ilivyo kawaida yangu, sijaoa bado ila napenda kujipikia, nakula migahawani mara chache chache sana...
12 Reactions
53 Replies
8K Views
South African President Jacob Zuma met with the Queen of England. He asked her, "How do you run such an efficient government? Are there any tips u can give to me? I want to help South Africa."...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyani Ngabu - Bunga Ninya Zitto kabwe - Bweka ttozi kazi ya kubweka inamfit sana afrodenzi - inzi de rofa MTAZAMO - Moza Tam masai dada - Dada isama TEMBO WANGU - Nguwa mbote...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini, Kama ni mwanaume mzoefu wa watoto wazuriwazuri itakuwa kazi rahisi tu kugundua kuwa huyu mhadithiaji sijui wa tamthiliya flan ya kila jioni kwny TV 1 ana figure ya ukweli. Huwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…