kelvin mkanyia
Member
- Dec 22, 2014
- 29
- 1
Ninakimada changu ambae npo nae kitambo ss, ila kuna demu jirani yangu ambae ananidatisha kimtindo ingawa hamfikii kimada wangu.
Imani iliponishinda ilibidi nimweleze ukweli na shukrani alinielewa ila ckumwambia km ninakimada wangu.
Aliniomba no.yangu ya cmu na baada ya kumkabidhi alidai hana cmu ila ana laini2 hvyo atakuwa anaazima cmu ili 2we 2nawasiliana wakati naendelea kupiga deiwaka ya kumtafutia cmu.
Jana aliazima cmu 2kachati sn.
Kumbe cmu alimuazima kimada changu coz ni friend wake na alipomuhoji alitoa siri kuwa anamahusiano nami ila kimada changu hakikusema chochote baada ya kuhakiki hilo.
Cku ya leo yule kimada wangu wa cku zote amenitumia SMS zote nilizochati na ule mchepuko na kunieleza kuwa anayajua yote.
Mpaka sasa napiga cmu nimuombe radhi hataki kupokea, akipokea hataki kuongea, akiongea ananikaripia na SMS hazijibu.
Kumpenda bado nampenda kusema kweli.
Sijui nifanyaje wadau