Umofia kwenu wana JF,
Mh Laigwanan Edward Ngoyai Lowassa,mtangaza nia kupitia CCM, leo amepita mitaa ya Dodoma mjini akitokea airport. Ndio mara yangu ya kwanza kumuona akipita njia hii.
jamani walevi wakikutana baa hupeana madili ya hela
walokole wakikutana kanisani hupeana habari njema za Mungu!
Na mimi leo niko JF, humu nimegundua kuna watu wenye michongo mikali na mirefu...
Hatimaye Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli mh. Edward Ngoyayi Lowasa JINa lake lakatwa Rasmi.
Kamati kuu ya ccm ya chama cha mapinduzi leo kimemaliza ubishi na minong'ono iliyokua...
Haya, leo taja kumbukumbu ya tukio kongwe kuikumbuka katika maisha yako, katika utoto wako.
Namaanisha, ni tukio ambalo hukumbuki tena tukio lengine kabla ya hilo. Usisahau kuandika angalau kwa...
Ni katika hali tu ya kusahau naona mambo mengi kichwani. Muda si mrefu nimetoka kufakamia chakula kwa mshikaji wangu baada ya kunialika lunch, na mimi huwa napenda mno kula pilipili, hivyo...
kuna jamaa mmoja alienda katika kijiji fulani. Akatokea kumpenda msichana fulani .Na yule msichana alikuwa wa ukweli, sio zobazoba. Jamaa akasend request yake demu kamkubali.
Jamaa akauliza...
Kuna jamaa alimpenda mwanamke sana, kiasi kwamba chochote atakacho anampa. Siku moja jamaa alimuahidi demu kuwa atamfanyia suprise. Jamaa siku imefika akamtumia elfu mbili 2000/=, basi demu...
Mzunguko wa elimu Africa:
1- Wale wanafunzi wanaoongoza shuleni hupelekwa kwenye engineering na medical schools huku
2- Wale waliokuwa wa wa pili wanachukua zao MBA na LLB na kuja kuwa mameneja...
Ndugu zangu wa TZ .Nachukua fursa hii kutoa salamu kwa watu wa rika zote.Najivunia kuwa mtanzania PIA napenda kuona nchi yetu inakuwa na amani pia TUDUMISHE MUUNGANO WETU.TUFANYE UCHAGUZI WA AMANI...
Ujinga ni kufuta namba ya mchumba wako wakati kichwani ulishaga inakili. Sasa basi kuanzia leo usifanye kitu kibaya kama kile.Kwanza kusalitiana ni kitu kibaya sana, mpaka inasababisha baadhi watu...
ndani ya gari inayotosha abiria wanne , mpare akiwa amepakia abiria wawili aliombwa lifti na abiria wengine wawili akakataa.
Eti anadai mafuta hayatatosha.
Inawezekana ndio kundi lenye majina mengi humu Jf.
Ni majina ya Jr ambayo yameonekana kushika kasi ya ukubwa wa wingi wao.
Hawa ni member wachache wa Jf wenye majina ya Jr.
mshana jr
Rene jr...
chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza,
chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo.
watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo.
chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu...
I arrived in Dar Es Salaam safely. I traveled via Pricess Munna from Mwanza to Dar, and the journey was extremely tiring and not as exciting as i thought it would be.We left Mwanza at 6:05 in the...
Tafadhali husika na mada ya hapo juu.
Mimi ni kijana nisiezidi miaka 30 ni mwenyeji wa Zanzibar. Dhumuni la barua ni kukueleza tangu nipate kukufahamu kupitia Jf unaukosesha raha moyo wangu...