Ifahamu record nyingine ndani ya JF

Ifahamu record nyingine ndani ya JF

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,539
Reaction score
4,856
Last edited by a moderator:
jr maana yake ni Junior, kwa mfano mimi ningekuwa naitwa ISLETS HELICASE, basi ningeweza kujiita HELICASE JR, na mzazi wangu huyo mwenye jina la Hilicase angeweza kujiita HELICASE SR, sr maana yake ni Senior.
 
Inawezekana ndio kundi lenye majina mengi humu Jf.Ni majina ya Jr ambayo yameonekana kushika kasi ya ukubwa wa wingi wao.Hawa ni member wachache wa Jf wenye majina ya Jr. mshana jr Rene jr Pampula jr Rodney jr Digoxin JR maziku Masunga jr Muhamakilo jr smaiL pDiDy jr Kapo Jr Amani Jr UHURU JR chapa Nanlo jr Julius Malema Jr Mallata jr Ally Square jr Pampula jr Mandela jr RAHIMU jr kireri jr okonkwo jr Kolimba Jrje ni kina nani hawaaaaaaa ?[/QUOTE Idd Ninga mbona kwenye likes given una zero? Kwanini?
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha tehe tehe tehe tehe tehe kwi kwi kwi kwi,aise mshana jr simu yangu ni nokia ya mchina yani kanaendana na jf mobile tu
 
Last edited by a moderator:
jr maana yake ni Junior, kwa mfano mimi ningekuwa naitwa ISLETS HELICASE, basi ningeweza kujiita HELICASE JR, na mzazi wangu huyo mwenye jina la Hilicase angeweza kujiita HELICASE SR, sr maana yake ni Senior.

Hivi ni kuamua tu kua Sr ama Jr?
 
Hizo siyo hela ztakuwa heleni zako!...jukwaa lenyewe linaitwaje hili mbona geni machoni pangu?

Hili ni jukwaa la ngono huna macho? Na mliotajwa hapo juu ni best vitombi ever
 
Back
Top Bottom