Kumbukumbu kongwe kuliko zote kichwani mwako

Kumbukumbu kongwe kuliko zote kichwani mwako

Joined
Oct 29, 2012
Posts
86
Reaction score
4
Haya, leo taja kumbukumbu ya tukio kongwe kuikumbuka katika maisha yako, katika utoto wako.
Namaanisha, ni tukio ambalo hukumbuki tena tukio lengine kabla ya hilo. Usisahau kuandika angalau kwa kukadiria, muda huo ulikuwa na umri gani.
 
Hebu anza wewe tuone japo mfano wake inakuwaje?
huenda hujaeleweka
 
Back
Top Bottom