Wadau,
Sio siri, ni nani aliyehisi kati ya hawa 42, eti Magufuli ndo atakuwa Mcharo? Saizi yupo Dodoma kwenye hotel fulani hivi anasogeza siku kujiandaa na pambano alilopambanishwa na mabinti...
Nchini mwetu wanasiasa wote wamekuwa ni wezi na wasio na nidhamu ya kazi nionavyo mie uadilifu umebaki jeshini tu ndo maana nashauri ili kulirudisha taifa letu katika misingi yake ya mwanzo...
Majadiliano kati ya Pinda na Wassira baada ya matokeo;
Pinda: Oya kaka vipi, mbona unasinzia tuuu, tayari huko
Wassira: •0ƒ7•0ƒ7•0ƒ7 Tayari?! Vipi, mzee kapita...
Naam mpenzi msikilizaji, ni dakika ya 44 ya mchezo nusu fainali kati ya KAMATI YA UCHAGUZI v/s CCM, KOMBE LA URAIS, mpaka sasa hakuna timu iliyokwisha ona lango la mwenzie, haya sasa anakwenda...
Umofia kwenu wana JF,
Kama wewe unaenda na wakati basi lazima utakuwa unatumia simu za kisasa.Yafuatayo ni majina ya simu tano za kisasa ambazo zinatesa sokoni kwa sasa.
1.HTC One M9
2.IPhone 6+...
Hapa JF kuna watu ni maarufu kwa Avatar zao zinavyoonekana.
Kuna hiyo picha nimeweka hapo juu na kunamtu anaitumia kwenye avatar yake je unaweza kumjua?
Mke wake Je,Unamfahamu?
Kama umemjuwa...
Mimi ni kijana umri 22 sijaoa, bado nipo chuo.Kuna dada mmoja tuliowahi kuwa wapenzi wakati wa kidato cha pili 2008. Kwangu ilikuwa first love nilimpenda sana japo alinitongoza mwenyewe ilikuwa...
Ni miaka mitano sasa tangu nijiunge rasmi kwenye Jamiiforums.
Ilikuwa tarehe kama ya leo,mwezi wa leo mwaka 2010.
Nawashukuru sana tena sana. Wote mlionipokea na kunikuza kifikra, kimaadili na...
Maisha nikama kalata uanaweza ukalamba dume ama ukalamba kalasha ama ukalaba Mzungu wa nne leo ni tubo joto kwa wawania uraisi leo mwenye masikio atenge mwenye macho atazame leo...
Kitu ni kile kile kilishaletwa mara nyingi tu humu wadau...!
iko hivi..
Siku moja ukiwa unatembea ghafla unashituliwa na kofi la nguvu linalokupelekea kufumba macho, ngumi kama kumi mfululizo...
Rules are simple; You are the Moderator. Ban the above person above you for (inserting a reason) have fun with it. Mention the person and ban him/her by mentioning the reason. Any language is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.